Kukuambia akuambie mwingine sisi ndo tutoe maelezo? Majanga!Habari.
Nimepigwa na butwaa sana leo hii.
Nilikua natoka katika banda langu la kuku,Mara akaja jamaa wa mtaani kwetu
,Huku akiniulizia kama nina mayai viza,Mayai ambayo yameshaatamiwa na kuku lakini hayakuanguliwa.
Nilipomuuliza anakwenda kuyafanyia nini,akaniambia ana kazi nayo,
Sasa ningependa kujua ni kazi gani mayai viza hufanya.?
Karibuni wadau mnifungue macho.
A Rotten Egg is produced by allowing an Egg to spoil. Unlike most foods which turn to Rot when they spoil, Eggs become Rotten Eggs. Like Rot, Rotten Eggs can be used to fertilize crops or as fuel in a Campfire or Fire Pit. Rotten Eggs can be used to craft Gunpowder, a powerful explosive which deals a lot of damage and can destroy most structures.
Source: Rotten Egg - Don't Starve game Wiki
Mnao toa sababu za kichawi, mnathibitisha imani zenu, binafsi nnajua yanatumika kupigia mtu endapo una bf naye.
Mayai viza ni silaha pia mkuu.
kuwapelekea washirikina/ waganga ili wakimnuizia mtu wanasema nataka mwajuma mambo yake yavunde kama hili yai viza lilivovunda, pia mambo yake yasifanikiwe kama hili yai viza ambalo halikufanikiwa kuangua kifaranga.
Kazi nyingine ni kuwapiga watu ambao unaugomvi nao lakini kupigana nao huwezi hivo unamvizia anapita mahali unajibanza unampiga nayo kama matatu hivi aiseeee anachukua wiki nzima hiyo harufu ya uviza kuisha mwilini mwake.
Kazi nyingine muulize huyo aliyekuja kukuomba hayo mayai, tena usimpe bure umuuzie.
mayai viza ni bidhaa adimu na muhimu sana kwa waganga wa kienyeji, na yanauzwa bei nzuri, hata wewe waweza kuyahifadhi kwa ajili ya kuyauza hapo baadae....
kazi zake ndio hizo jamaa wamekwambia!
It sound logical, maana wengine wanawaza uchawi tu, ptuuuuuuu.
Zamani mtu akija kumtongoza dada usiku. unamvizia akianza kumkumbatia unampiga nalo. Dada anarudi nyumbani na doezi harudi tena.
Habari.
Nimepigwa na butwaa sana leo hii.
Nilikua natoka katika banda langu la kuku,Mara akaja jamaa wa mtaani kwetu
,Huku akiniulizia kama nina mayai viza,Mayai ambayo yameshaatamiwa na kuku lakini hayakuanguliwa.
Nilipomuuliza anakwenda kuyafanyia nini,akaniambia ana kazi nayo,
Sasa ningependa kujua ni kazi gani mayai viza hufanya.?
Karibuni wadau mnifungue macho.
kweli....? wacha tutafute soko....!aisee hapa kwangu pana hatchery ninatoa mengi sana aiseee nipeni soko bwana
kweli....? wacha tutafute soko....!
Unakimbia ukweli, hali halisi ni hiyo watu wanatumia kwa kupigia watu, miaka hiyo ndivyo ilivyo.Na wewe unayetoa sababu za ugomvi unathibitisha kuwa ni mtu usiye na BUSARA!