Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Matambiko, na yana bei kuliko mazima.
Inawezekana yana kazi nyingi,ila ungemuuliza huyo jirani yako vizuri ungejua kazi moja tayari.
kuwapelekea washirikina/ waganga ili wakimnuizia mtu wanasema nataka mwajuma mambo yake yavunde kama hili yai viza lilivovunda, pia mambo yake yasifanikiwe kama hili yai viza ambalo halikufanikiwa kuangua kifaranga.
Kazi nyingine ni kuwapiga watu ambao unaugomvi nao lakini kupigana nao huwezi hivo unamvizia anapita mahali unajibanza unampiga nayo kama matatu hivi aiseeee anachukua wiki nzima hiyo harufu ya uviza kuisha mwilini mwake.
Kazi nyingine muulize huyo aliyekuja kukuomba hayo mayai, tena usimpe bure umuuzie.
Habari.
Nimepigwa na butwaa sana leo hii.
Nilikua natoka katika banda langu la kuku,Mara akaja jamaa wa mtaani kwetu
,Huku akiniulizia kama nina mayai viza,Mayai ambayo yameshaatamiwa na kuku lakini hayakuanguliwa.
Nilipomuuliza anakwenda kuyafanyia nini,akaniambia ana kazi nayo,
Sasa ningependa kujua ni kazi gani mayai viza hufanya.?
Karibuni wadau mnifungue macho.
kuwapelekea washirikina/ waganga ili wakimnuizia mtu wanasema nataka mwajuma mambo yake yavunde kama hili yai viza lilivovunda, pia mambo yake yasifanikiwe kama hili yai viza ambalo halikufanikiwa kuangua kifaranga.
Kazi nyingine ni kuwapiga watu ambao unaugomvi nao lakini kupigana nao huwezi hivo unamvizia anapita mahali unajibanza unampiga nayo kama matatu hivi aiseeee anachukua wiki nzima hiyo harufu ya uviza kuisha mwilini mwake.
Kazi nyingine muulize huyo aliyekuja kukuomba hayo mayai, tena usimpe bure umuuzie.
A Rotten Egg is produced by allowing an Egg to spoil. Unlike most foods which turn to Rot when they spoil, Eggs become Rotten Eggs. Like Rot, Rotten Eggs can be used to fertilize crops or as fuel in a Campfire or Fire Pit. Rotten Eggs can be used to craft Gunpowder, a powerful explosive which deals a lot of damage and can destroy most structures.
Source: Rotten Egg - Don't Starve game Wiki