BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Balozi zetu zinamaliza pesa hazina. Hakuna kazi wanafanya huko..Walimu, madaktari wanashindwa kulipwa mishahara kwa sababu ya matumizi mabovu kama haya yasiyo ya msingi...
1.Kutoa Visa
2.Kutangaza nchi usika hasa kiutalii na uwekezaji
3.Kusaidia Raia wake wakiwa nje incase of matatizo
NB:2&3 Hayafanyiki
1.Kutoa Visa
2.Kutangaza nchi usika hasa kiutalii na uwekezaji
3.Kusaidia Raia wake wakiwa nje incase of matatizo
NB:2&3 Hayafanyiki
kazi yao kutuwakilisha huko majuu.
1.Kutoa Visa
2.Kutangaza nchi usika hasa kiutalii na uwekezaji
3.Kusaidia Raia wake wakiwa nje incase of matatizo
NB:2&3 Hayafanyiki
Jibu tu hivyohivyo mkuu.Wataalamu wa Msuala ya kidplomasia wanatakiwa wakujibu, mimi nikijibu nitajibu kutokana na taaluma yangu ya ualimu wa shule ya msingi.
Anawakilisha katika mambo gani? Yaani kama vile watanzania walivyokuwaNdo anawakilisha nchi Yake katika eneo husika (anapofanyia ubalozi)
Mkuu,, kwahiyo mtu wa kawaida inakua vigumu kufanya kazi ubalozini ?balozi zetu wamejaa waambata wa vyombo vya dola,Pia mabalozi wetu wateuliwa wametokea kwenye vyombo kama hivyo
ndio maana hawanaga msaada customer care negative ubalozi unaenda kijeshi jeshi
ila kingine watu wanaolalamikia balozi haziwasaidii wanapeleka matatizo yao binafsi....Tusiwalaumu sana mabalozi wana bajeti finyu
Mbona hatuoni akina Biden au Liz Truss wakizunguka huku na huko?? Mabalozi hizo ndio kazi zao. Ukiona Biden au Liz Truss anaenda nchi fulani jua kua kuna interest kubwa ya nchi anaenda kuiongelea hawazunguki zunguki tu kila kona kama chief Hangaya, utasema alikula miguu ya kuku yeye na JK.Kuna ya kuwakilishwa na balozi
Kuna yanayomhusu mkuu wa nchi
Kuna ya mawaziri nk