Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Wee ni muongo, mwaka m1 hata jeneza bado halijashikwa na mchwa, hizi picha ni za kutunga hapa.
wewe unavojua wadudu wanatoka ardhini si ndio?? Kama ni hivyo sio kweli mtu akifaa hua mwili mzima unavimba sana , ukija kubasuka wale wadudu huanza kushambulia ngozi ikiwa tayari sehemu za ndani zimeshaliwa vibaya
 
Tena hapo zungumzia hawa wanaozikwa na jeneza afu wanafukiwa na udongo.

Hawa wanaojengelewa kwa saruji na malu malu ndo kabisaa, wanachelewa na kuchelewa tena kuharibika.
 
Inawezekana kuna mazingira yalisababisha, ingawa sio KAWAIDA.
Lakini tafiti maelfu kuhusu nini hutokea kwenye mwili baada ya kifo ziko nyingi -open source kabisa - ni kwenda kusoma tu..
 
Tena hapo zungumzia hawa wanaozikwa na jeneza afu wanafukiwa na udongo.

Hawa wanaojengelewa kwa saruji na malu malu ndo kabisaa, wanachelewa na kuchelewa tena kuharibika.
Wadudu hawatoki kwenye udongo bali mwilini umenipata
 
Hii ni adhabu ya kaburi aiseeee
Wote makafiri huu ujumbe wenu
 
Mimi ninawaza tu siku ya kufa kwangu,,usiku wangu wa kwanza makaburini sijui itakuaje,,watu wamekuzika na kuondoka, giza limeingia, hakuna marafiki, wala ndugu, umeme wala ulinzi, hiki ndo kinanipa uoga sana nitakapofariki
Sasa ule si ni mwili tu unazikwa?
 
Inawezekana kuna mazingira yalisababisha, ingawa sio KAWAIDA.
Lakini tafiti maelfu kuhusu nini hutokea kwenye mwili baada ya kifo ziko nyingi -open source kabisa - ni kwenda kusoma tu..
Bas sawaa
 
Acheni kutisha watu na nadharia zenu za kupotosha.
Kifo ni hali ya roho kutoka katika mwili, kiuhalisia ni kwamba bila uwepo wa roho katika mwili, mwili mwanadamu hauwezi kuhisi maumivu yoyote.

Na kuhusu mwili kuoza na kuwa mifupa ni suala jumuishi kila kiumbe kikishakufa ni lazma kiozeana na hakuna kanuni kuwa ni sehemu gani ya mwili itaanza na ipi itakuwa ya mwisho kuoza.
 
Aione ABDULY, Mama Yake na Rostaaamu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…