Nini husababisha maziwa ya wadada kulala?

Nini husababisha maziwa ya wadada kulala?

Duu, I see.
Ila kwa upande wangu mkuu huwa sijali, Hata kama mwanamke maziwa yamelala mimi huwa nakula mzigo tu kiroho safi
Mkuu,

Ukiona mtu amepanic katika hii mada ujue huyo ameguswa kwa kuwa maziwa yake yamesha dondoka.

To be hunestry, sidhani kama kuna mwanamme atakuwa na raha kuwa na mwanamke ambae maziwa yake yamelala. Basi tu uwa tunajikaza kuwa nao ila its boring.
 
Kinachosababisha yalale ni "GRAVITY" inakua inayasukuma chini, sasa weight ikizidi pande za mbele zile kitu inaaccelerate kulala
 
Wanawake karibu wote wa kizungu masiwa yao yamesimama hadi wabibi. Kwa Wafrika sijui kwanini aise!!!
Usiangalie porn sana, ndo matatizo yake haya...
Wazungu wengi tu yamelala, ishi nchi za wazungu utaniambia... duniani kote wanawake walewale tu
 
nimekuwa nikiuliza kitambo bila kupata majibu, ni nini hasa husababisha maziwa ya akina dada kulala na wakati wengine wenye sifa za pamoja hayalali.

Usingizi 444.......aka FO FO FO

homer-sleep1.gif
 
nimekuwa nikiuliza kitambo bila kupata majibu, ni nini hasa husababisha maziwa ya akina dada kulala na wakati wengine wenye sifa za pamoja hayalali.

mshauri mkeo asinyonyeshe mtoto ili maziwa yasilale.
 
Kinachosababisha yalale ni "GRAVITY" inakua inayasukuma chini, sasa weight ikizidi pande za mbele zile kitu inaaccelerate kulala

hahahaha so incase there is no gravity yangegeukia mbele au pembeni?
 
Maziwa au Matiti??
Sasa ukishajua itakusaidia nini?
 
1:Maumbile ya mtu,unaweza ukakutana na mtoto ana only 13 lakini matiti yanakuwa yamelala doroo

2: Genetics....matiti yanaanguka kwa kurithi,gud example,wachaga..samahani jamani,me mwenyewe mchaga

3:Uzazi...kunyonyesha both baby and dady lol!

4:Umri,kuna time ikifika haijalishi ujanani ulizaa/ulitoa mimba,kitu kinalala

SOLUTION
Wanawake tujikubali,usipojikubali i advise you kuandaa USD 7000 for surgery ili umfurahishe my diha wako...sor i mean dia wako
 
Back
Top Bottom