Nini husababisha maziwa ya wadada kulala?

Nini husababisha maziwa ya wadada kulala?

Hayo ambayo hayajalala,ikifika mda wake yatalala maana kila ziwa lazima lilale likichoka
 
Kunyonyesha mtoto,

kunyonyesha mume au mpenzi,

Maumbile,ndo mana wanawake wa familia moja wanafanana maziwa....km mama na ndugu zako wa kike yamelala jiandae ,km yapo sawa basi utakuwa hivo pia..

na smtym kutovaa bra inachangia coz muda wore yanakuwa yamelepweta tu,,,
hapo kwenye red unamaanisha nn mku
 
ni maumbile, kama ilivyo wengine wanene wengine sio , wengine warefu wengine sio, wengine mguu mnene wengine sio ,wengine mkono mnene wengine sio. na wengine maziwa makubwa wengine sio ziwa kubwa nii rahisi sana kulala, azae asizae,anyonywe na wanaume asinyonywe litalala tu. ziwa la wastani hata likinywanywa vipi linasimamishwa kirahisi.
 
nimekuwa nikiuliza kitambo bila kupata majibu, ni nini hasa husababisha maziwa ya akina dada kulala na wakati wengine wenye sifa za pamoja hayalali.

Ulishawah kujaribu kumuuliza mama yako kwann maziwa yake yamelala akakujibu nn??????????
 
Kunyonyesha mtoto,

kunyonyesha mume au mpenzi,

Maumbile,ndo mana wanawake wa familia moja wanafanana maziwa....km mama na ndugu zako wa kike yamelala jiandae ,km yapo sawa basi utakuwa hivo pia..

na smtym kutovaa bra inachangia coz muda wore yanakuwa yamelepweta tu,,,

vp ww yamesimama bibie
 
Sie kwetu huwa hayalali ni urithi kutoka kwa bibi hata yeye yapo still i mean Embe dodo
 
Langu mie water melon hubby anajilia tu!!!!!!! sijari ziwa kulala cozi maisha ni zaidi ya maziwa kulala.
 
kwangu naziona dalili ya kuzimia kabisa wala sio kulala coz mtoto + Baba mtoto wote wanayatumia
 
Hakukuwa na haja ya kutumia lugha kali, mbona mimi nimemjibu kisela tu..

Mkuu,

Ukiona mtu amepanic katika hii mada ujue huyo ameguswa kwa kuwa maziwa yake yamesha dondoka.

To be hunestry, sidhani kama kuna mwanamme atakuwa na raha kuwa na mwanamke ambae maziwa yake yamelala. Basi tu uwa tunajikaza kuwa nao ila its boring.
 
tatizo yanapata sana support ya vibenua matiti/sidira so yakikosa huwa yanrrudi chini sana.
na mengine yanatumika sana.
 
Back
Top Bottom