Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,448
- 10,765
Vyumba vinne, najua yupo ndani ila sasa kuingia vyumba vya watoto wa kike noomaAchana na kupiga mwanamke kama ulikuwa na tabia za kukaa kimya ungeendelea tu. Maana kama ni kuchukua mashati ungeuliza yapo wapi ungechukua mwenyewe. Kwa mujibu wa Profesa Vulata ni kwamba mwanamke wako tayari kaonja nje na pia kuna vitu kagundua huko nje. Wanawake japo ni mama zetu wana vichaa sana. Kama unaweza mkalie kimya kbs ningekuwa mimi ndio kashanipoteza kitendo cha kuletewa chakula na dume mwenzio kaka wa mkeo ni dharau kubwa sana.MKALIE KIMYA KABISA. Usimtafute. Swali fikirishi ebu fafanua nyumba ina vyumba vingapi kiasi cha kutojua mke wako yupo chumba gani? Usiwe muungwana sana na mtu aliyeongea na koboko.
Huyo mke uliolewa ama ulioa mwenyewe? Mkeo unaogopa kuingia chumba cha wadada una mila za kizamani sana wewe mtu. Ngoja akulalie na mwanaume humo ndani ndio akili zitakusogea. Fanya ambush kila chumba hana adabu.Vyumba vinne, najua yupo ndani ila sasa kuingia vyumba vya watoto wa kike nooma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] hii bangi mkuu itakumaliza...wewe choma moto nyumba nakuhakikishia lazima atoke uko alikojificha
Achana na kupiga mwanamke kama ulikuwa na tabia za kukaa kimya ungeendelea tu. Maana kama ni kuchukua mashati ungeuliza yapo wapi ungechukua mwenyewe. Kwa mujibu wa Profesa Vulata ni kwamba mwanamke wako tayari kaonja nje na pia kuna vitu kagundua huko nje. Wanawake japo ni mama zetu wana vichaa sana. Kama unaweza mkalie kimya kbs ningekuwa mimi ndio kashanipoteza kitendo cha kuletewa chakula na dume mwenzio kaka wa mkeo ni dharau kubwa sana.MKALIE KIMYA KABISA. Usimtafute. Swali fikirishi ebu fafanua nyumba ina vyumba vingapi kiasi cha kutojua mke wako yupo chumba gani? Usiwe muungwana sana na mtu aliyeongea na koboko.
[/QUOT.
Yaani umegonga mule mule mzeya.
Umeongea vyema sana nilliwaza hivi pia lazima ana kitu moyoni ambacho kinampa wakati mgumu either hii safari yako au mali alizozungumzia kuna tatizo...Huu ni upande wako ndo tumeusikia..yeye hatujamsikia..lakini inaonekana wife wako anamzigo moyoni mwake..tafuta njia sahihi ya kuweza kuzungumza nae utakuja kugundua kuna vitu vingine unavyovifanya vinamkwaza sana na hakwambii..matokeo ndo kama haya sasa ..
[emoji3][emoji3][emoji3]Hizo akili za kiraracha meku,amekosa adabu kipondo ni stahili yake au umeoa chasaka
Hivi chasaka ina maana gani mkuuHizo akili za kiraracha meku,amekosa adabu kipondo ni stahili yake au umeoa chasaka
MporiporiHivi chasaka ina maana gani mkuu
Mkuu Kikoozi na great thinkers wote naomba kutoa mrejesho kidogo!!nasubiri mrejesho pia
Ulisema uko kanda ya ziwa, nadhani mkeo katoka kabila la Nyamangambile...wanamidomo sana hawa ila umefanya jambo jema japo si sana kumuomba msamaha.Mkuu Kikoozi na great thinkers wote naomba kutoa mrejesho kidogo!!
Sijaonana naye tangu hiyo Jana wala simu hazipatikani ila nilitega sms naona zime deliver, inaonekana anazima simu nakuwasha. Nimeamua kusafiri tu maana sikuwa na maamuzi mengine sababu naona kibri anacho na hata nikiendelea kusubiri naona napoteza tu muda.
Nimeacha pesa za matumizi, nimeandika na note yenye maneno "I'm soory, nikaweka na mistari ya bibilia yenye maneno ya upatanishi, pia Jana nilinunua zawadi flani za kuombea msamaha kwa hiyo hivyo vitu pamoja na hela ha matumizi nimeweka sehemu kabatini, akifungua atakutana navyo!!
Nasubiri nione response yake nione!!
Nawashukuruni sana kwa ushauri wenu na mawazo yenu makubwa ya kujenga!!
Mremaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kipande cha kanga unakielewa lakini??kipande cha kanga wahenga wameficha jambo hapo..yaani mwanamke anapigwa na mbo***ooHalafu mkuu mwanamke hapigwi anapigwa na kipande cha kanga lakini katika unaweka jiwe
..
Au mpe ela bandia ataenda pigiwa sokoni
Anyway muombe samahani kuepusha Shari unaeza mwagiwa maji ya moto usiku huu ukiwa umelala
Mkuu Kikoozi na great thinkers wote naomba kutoa mrejesho kidogo!!
Sijaonana naye tangu hiyo Jana wala simu hazipatikani ila nilitega sms naona zime deliver, inaonekana anazima simu nakuwasha. Nimeamua kusafiri tu maana sikuwa na maamuzi mengine sababu naona kibri anacho na hata nikiendelea kusubiri naona napoteza tu muda.
Nimeacha pesa za matumizi, nimeandika na note yenye maneno "I'm soory, nikaweka na mistari ya bibilia yenye maneno ya upatanishi, pia Jana nilinunua zawadi flani za kuombea msamaha kwa hiyo hivyo vitu pamoja na hela ha matumizi nimeweka sehemu kabatini, akifungua atakutana navyo!!
Nasubiri nione response yake nione!!
Nawashukuruni sana kwa ushauri wenu na mawazo yenu makubwa ya kujenga!!
Mremaa
Sent using Jamii Forums mobile app