Nini hatma ya Dreamliners?

Mungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
Mradi wake au mradi wetu
 
Mimi nashauri ninyi watanzania mnaoishi nchini Marekani mnaweza mkaisaidia nchi kutoka kwenye mkwamo huu. Ishaurini seriksli ya Marekani ibatilishe hivyo vikwazo (bans) na kama watagoma basi wote indokeni huko mrudi Tanzania.
Nadhani hapo mtakuwa mmewapa pigo kubwa sana wamarekani
 
The rock and his followers including you are all stuck in hard place.
 
Kuna uzi wako unasema his migo not amigo
 
Mungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
Unataka asafiri kwenda huko hakafu arudi kwenye boot ya ndege? Wacha mambo yako mkuu!
 
Naliona giza nene kwa ndege yetu pendwa. Hakuna kumodifayi kifaa chake chochote. Ukifanya hivyo tu dege haliinukii juu.
Hivi ni nani aliyetuloga jamani?? Watu hatuna uwezo wa kutengeneza pini tunawatukana kila uchwao; Mibeberu, mijibeberuuu. Haya, yametikisa kiberiti kidogo tu, sote tumekuwa mbuzi jikeee
 
Unataka asafiri kwenda huko hakafu arudi kwenye boot ya ndege? Wacha mambo yako mkuu!
Wale wakiamua asafiri kwenye buti ya ndege hawashindwi kumsafirisha from Dar to Chato wala si lazima aende huko.
 
Mbuzi jike meeeeeee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ