Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Mataga pori ndiyo walikua wanamtetea huyu mpuuzi.Kuna kipindi hata humu niliwahi kulalamika kuhusu mwanaharakati huru kutumia TV yake kuchafua watu, niliishia kejeli kuna watu walisema nimeshaguswa nitulie dawa iingie na baadaye uzi wangu ulipotea(sijui ulifutwa kwa sababu gani)