Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

Halima mdee Ana potential kubwa nisijue hao wenzake

Nadhani ataendelea kuwa at the safe side ma a na she has something to offer in our country.
You could be right. Lakini, nani hasa anayeihitaji hiyo potential? Nani anachukulia kauli zake bungeni seriously siku hizi kama enzi alipokuwa mbunge wa CHADEMA?
 
Tuendelee mkuu 'Zanzibar-ASP', mimi nipo palepale bila kujali haya ya pembeni. Nataka 'facts'tu, ukiongeza haya madoido, unaharibu na hapo tutafika kwingine kabisa, maanake huwa sichoki na huko ukitaka kwenda eneo hilo.
Mkuu Kalamu nilivyoisoma hoja yako inaonyesha kuwa huyo kiongozi wa CHADEMA aliyewezesha kina Halima Mdee kwenda Bungeni kinyemela alifanya hivyo kivyake “undercover” bila kuhusisha mfumo rasmi wa uongozi wa chama. Kwamba alishirikiana na serikali ya CCM ya Magufuli kufanikisha hilo.

Ndio maana uongozi wa CHADEMA umeweza kukana rasmi kupeleka majina yao Tume ya Uchaguzi na Bungeni. Kwa sababu haukuhusika. Na umeidai Tume ionyeshe ushahidi wa barua kitu ambacho tume na bunge wameshindwa. Sijui kwa kuogopa kumuumbua huyo kigogo wa CHADEMA ambaye ni mshirika wao wa siri?!

Am I wrong?🤔
 
Am I wrong?[emoji848]
Kalamu anajitungia story kwa sababu ya chuki zake tu hata huyo kiongozi wa cdm ameshindwa kumtaja.

Anataka tuamini yaliyoko mafichoni tupuuze yaliyodhahiri.
 
Ahsante sana kwa kulielezea kwa ufasaha zaidi jambo ambalo nilikuwa nikijaribu kulieleza lieleweke.
 
Ndugu kichwani uko timamu?
Mbona unalazimisha porojo za kutungwa za kina mdee kuwa agenda ndani ya Chadema?
Sasa utabaki kutumia maneno ya hovyo tu, kwa sababu umeelewa tatizo lako liko wapi tokea mwanzo.
Ni haki yako kutafuta njia ya kujiondoa kwenye hoja kwa kukosa jipya la kutetea nafasi yako mbovu.
 
Huna hoja, unakomalia vitu visivyo na msingi! Umeshindwa kujibu hoja unahamia kwenye ugomvi! Ni ngumu sana kuwatetea Covid 19 na bado ukaonekana una akili timamu!
Angalia kondoo mwingine huyu asiyeweza kusoma na kuelewa kinachojadiliwa. Umeona wapi nikiwatetea COVID-19 katika mjadala huu.
Hizi shule mnazosoma zina matatizo mengi.
 
Wewe kweli una akili sawa sawa?
Kwa hiyo kama kuna mtu mkubwa ndani ya Chadema (labda tuseme mwenyekiti) yupo nyuma yao, hiyo inatosha wao kuwepo bungeni kihuni kihuni vile?

Yaani huyo mtu ana nguvu, mamlaka na uwezo wa juu wa kuirubuni serikali ya CCM na bunge lake ili hao malaya wa Covid 19 waendelee kuwepo bungeni?

Huyo mkubwa wa Chadema unayedai yuko nyuma yao ndio aliwezesha yule mwanamke aliyekuwa gerezani kutolewa usiku usiku ili akaapishwe?

Huyo mkubwa wa Chadema unayemsema ndio akamuamrisha mpaka spika Ndugai kwenda kule garage ya ukumbi wa bunge kuwaapisha wale malaya wa covid 19?

Anza sasa kufikiri kwa akili yako, acha kukaririshwa vitu vya kijinga, kipuuzi na kipumbavu. Kwa akili hizo ulizonazo sasa JF hapakufai kabisa.
You know nothing!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Jibu hapa ni rahisi sana.
Ukijibu nani ndani ya CHADEMA alikuwa nyuma yao walipoingia Bungeni, utapata jibu la swali lako kama ifuatavyo:

Huyo aliyewawezesha kuingia Bungeni; na hajawahi kulisemea kwa uwazi jambo hili mbele za watu wakamsikia bayana, ndio msingi wa wao kuendelea kuwa Bungeni, pamoja na sarakasi zilizofanyika ndani ya CHADEMA kama ulivyo eleza hapo juu..
Hawa wabunge wataungana na 'sponsor' wao huyo, ambaye sasa anaonyesha wazi kuwa yeye na Samia wanaweza kufanya kazi pamoja. CHADEMA unayoisema ikileta ugumu kwenye mpango wa kufanya kazi na Samia, ataifutilia mbali kwa kuifukuza, au kutengana nayo.
Kwa hiyo usalama wa hawa wabunge upo vizuri tu, usifikiri hizo mbinu za mahakama zinazuia chochote.
Uzushi, hata unachosema hsukijui.
 
Agenda yako ni nini hapa?
Hoja yako ni ipi hapa?
Kwanini unalazimisha fikra zako potofu tuziamini?
Haya mwenyekiti wa Chadema hana uaminifu, kwa hiyo wakina Mdee watarudi Chadema? Una akili sawa sawa?
Wewe ni nani uzuie Halima Mdee na wenzie wasirudi CHADEMA? Halima Mdee na wenzie bado wapo sana CHADEMA, hutaki shauri yako. Utaondoka wewe wao utawaacha
 
Kalamu anajitungia story kwa sababu ya chuki zake tu hata huyo kiongozi wa cdm ameshindwa kumtaja.

Anataka tuamini yaliyoko mafichoni tupuuze yaliyodhahiri.
Nakuelewa vizuri sana mkuu. Namsubiri mkuu Kalamu amtaje huyo kigogo wa CHADEMA na chimbuko la hiyo habari yake.
 
Dah, mbona shajieleza vya kutosha juu ya hili jambo humu humu kwenye mada hii nikijibishana na mkuu 'Zanzibar-ASP'? Mnataka nijibu nini tena.
Halima na hao wenzake aliowaongoza kwenda Bungeni wasingeweza kuwa na uthubutu wa kufanya jambo zito kiasi kile kwa uamzi wao pekee, au ushawishi toka nje ya chama chao. Waeleweni hawa wanawake walivyokuwa ngangari kwelikweli wakati mgumu sana.
Sijasema hapa, kwamba kiongozi toka CHADEMA aliwashawishi waasi, la hasha, lakini ni lazima mjue kwamba vitisho vya Magufuli tu wakati huo visingetosha hawa mabinti wafanye kama walivyofanya. Ni lazima pawepo na 'consultation' ndani ya chama (hata kama ni kiongozi mmoja bila ya kushirikisha wengine).
 
Wadau nawasabahi.

Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama.

Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya Uchaguzi kuwa Halima Mdee na kundi lake sio wanachama wao kikatiba, hivyo hawastahili kuwa bungeni. Lakini bunge, serikali, na tume ya uchaguzi kwa pamoja wameamua kuvunja katiba kwa makusudi kwa kuendelea kuwalipa mishahara na posho kinyume na sheria kwa mujibu wa katiba. Kwani katiba inasema moja ya sababu za mbunge kupoteza ubunge wake ni "kufukuzwa uanachama na chama chake".

Hakika, bunge letu limeweka historia ya kuwa "Bunge lenye wabunge wasio na chama".
Najiuliza, nini hatima ya Halima Mdee na kundi lake baada ya bunge kuvunjwa?
Je, watajiunga na CCM?
Je, watajiunga na vyama vingine ila sio CHADEMA?
Je, CCM itawateua kama wabunge wa viti maalum?
Au watastaafu siasa?

Ngoja tusubiri 2025.
Hawezi kugombea kupitia ccm, anaweza kupewa viti maalum, au atakuwa makapi kama kafurila!
 
Ahsante sana kwa kulielezea kwa ufasaha zaidi jambo ambalo nilikuwa nikijaribu kulieleza lieleweke.
Basi ni vyema umtaje huyo mtu anayehujumu juhudi za mageuzi nchini kupitia chama makini cha upinzani. Hili ni jukwaa la GTs na lengo letu ni kuiona Tanzania bora ikijengeka.

Ni muhimu mijadala yetu iwe na purpose. Isiishie kushabikia tu kasoro za watu au vyama.
 
Wadau nawasabahi.

Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama.

Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya Uchaguzi kuwa Halima Mdee na kundi lake sio wanachama wao kikatiba, hivyo hawastahili kuwa bungeni. Lakini bunge, serikali, na tume ya uchaguzi kwa pamoja wameamua kuvunja katiba kwa makusudi kwa kuendelea kuwalipa mishahara na posho kinyume na sheria kwa mujibu wa katiba. Kwani katiba inasema moja ya sababu za mbunge kupoteza ubunge wake ni "kufukuzwa uanachama na chama chake".

Hakika, bunge letu limeweka historia ya kuwa "Bunge lenye wabunge wasio na chama".
Najiuliza, nini hatima ya Halima Mdee na kundi lake baada ya bunge kuvunjwa?
Je, watajiunga na CCM?
Je, watajiunga na vyama vingine ila sio CHADEMA?
Je, CCM itawateua kama wabunge wa viti maalum?
Au watastaafu siasa?

Ngoja tusubiri 2025.
Vatarudi nyumbani.
 
Dah, mbona shajieleza vya kutosha juu ya hili jambo humu humu kwenye mada hii nikijibishana na mkuu 'Zanzibar-ASP'? Mnataka nijibu nini tena.
Halima na hao wenzake aliowaongoza kwenda Bungeni wasingeweza kuwa na uthubutu wa kufanya jambo zito kiasi kile kwa uamzi wao pekee, au ushawishi toka nje ya chama chao. Waeleweni hawa wanawake walivyokuwa ngangari kwelikweli wakati mgumu sana.
Sijasema hapa, kwamba kiongozi toka CHADEMA aliwashawishi waasi, la hasha, lakini ni lazima mjue kwamba vitisho vya Magufuli tu wakati huo visingetosha hawa mabinti wafanye kama walivyofanya. Ni lazima pawepo na 'consultation' ndani ya chama (hata kama ni kiongozi mmoja bila ya kushirikisha wengine).
You really believe that? Ulielewa jinsi vitisho vya Magufuli vilivyokuwa enzi zile? Jinsi vilivyobadili mazingira ya kisiasa ndani na nje ya CCM na kuuweka mustakabali mzima wa taifa mikononi mwa mtu mmoja?

Halafu hiyo “consultation ndani ya chama” ilikuwa na uzito gani kuzidi vitisho vya Magufuli na manufaa ya aina gani kiasi cha kuwa na ushawishi kwa kina Halima kutupilia mbali legacy na hatma zao za kisiasa?
 
Back
Top Bottom