Kuhusu neno Utopolo ni neno la Lugha ya Kihehe na mhehe mmoja mtani wangu huyu aliniambia hilo neno lina maana ya kitu cha hovyo, takataka, bure kabisa, kisicho na maana, hakina nyuma wala mbele, kitu kinachotia kinyaa hata kuangalia. Kama ni mtu maana yake hawezi chochote, legelege, mvivu, hana faida.Mimi nimeuliza tu kutaka kufahamu maana ni moja ya maneno yanatrend sana kwa sasa, MATAGA na Utopolo
Great again?
Lini iliwahi kuwa great?
haya nuie Ma-CCM jibuni swali lenu hilo.This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.
Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?
Naomba Kuwasilisha.
Oh asanteThis means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.
Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?
Naomba Kuwasilisha.
Hahahahahahahaa......Liliwahi kuwa great kwenye utopolo
Walamba nyayoThis means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.
Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?
Naomba Kuwasilisha.
Ndiyo upeo wao ulipoishia.MATAGA yamekuwa matanga.Kuigaiga kipuuzi.Ile Making America Great Again na wao waka-copy Stupid CCM junkies!π€£π€£π€£π€£Hivi hawa wanaotunga slogan hawajui kuna slogan nyingine ukizitamka kwa kiswahili zinaleta ukakasi....
Na hapo kwenye "buku 7" nimeanza kusikia juz juz, hii ilianzaje had ikawa synonym ya Lumumba kaka?Trump alianzisha Make America Great Again - MAGA
Wao lummumba buku 7 wasivyo na akili za kufikiria wakaanzisha Make Tanzania Great Again- MATAGA
Sasa swali ni lini Tanzania ilikuwa Great