Nini hasa maana ya neno MATAGA?

Mimi nimeuliza tu kutaka kufahamu maana ni moja ya maneno yanatrend sana kwa sasa, MATAGA na Utopolo
Sasa hilo neno jingine baada ya MATAGA limeingiaje hapa?....watu wengine bwana!
 
Yap, enzi za Mwalimu, kabla ya Kagera war..

Watoto mashuleni walipewa uji ,madaftari, penseli bure..
Gharama za Huduma za afya ilikuwa ndogo sana..
Upendo kati ya watanzania ulikuwa mkubwa bila kujali dini wala kabila wala rangi..
Tanzania ilikuwa nchi inayoogopeka na kuheshimiwa Africa na nje ya Africa..
E.t.c , e.t.c .......
Make Tanzania Great Again, japo sijui waliotoa kauli hii walianzia wapi na walilenga nini
 
Waungwana.
Kuuliza si ujinga. Kuna neno linatumika sana siku hizi, nimeangalia kwenye kamusi sijalikuta, inaonekana Kama ni kifupi cha maneno fulani maana huandikwa kwa uppercase.
Maana ya MATAGA au kirefu chake ni nini?
 
MA = Make
TA = Tanzania
G = Great
A = Again.

Make Tanzania Great Again.
 
Make Tanzania Great Again (MATAGA)
Make America Great Again (MAGA)
Make .... Fool Again
 
Kutoka kwenye kaulimbiu ya Donald Trump akigombea mwaka 2016, Make America Great Again (MAGA). Yeye akiamini kuwa Marekani inadharaulika na kunyonywa na sera zake za kisiasa na kiuchumi hasa dhidi ya China.

Kijani wakaitwa Make Tanzania Great Again (MATAGA) ila sijui kama viongozi wake waliitaja wenyewe.
 
Ilizaliwa Kijijini sio Vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…