Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Ni Make Tanzania Great Again, ila niliwahi kusoma I think page flani Facebook kuwa hii wajuba waliidukua pahala ndio wakaweka Tanzania... Ngoja niingie chimbo naweza kuja na uthibitisho au clueWanajamvi habari ya asubuhi? Ni matumaini yangu mmeamka vyema, naomba kufahamishwa maana ya neno MATAGA, ahsanteni sana
Nimesharudi. Imeelezwa vizuri sana hapa na wapi CCM waliiba hii sloganNi Make Tanzania Great Again, ila niliwahi kusoma I think page flani Facebook kuwa hii wajuba waliidukua pahala ndio wakaweka Tanzania... Ngoja niingie chimbo naweza kuja na uthibitisho au clue
Nimeipitia hiyo imeeleza vizuri sana mkuu ubarikiwe sanaNimesharudi. Imeelezwa vizuri sana hapa na wapi CCM waliiba hii slogan
MATAGA: Brilliant idea, poor execution
Mataga,utopolo Buza kwa mpelange na usinifokee.....Mimi nimeuliza tu kutaka kufahamu maana ni moja ya maneno yanatrend sana kwa sasa, MATAGA na Utopolo
Amen, kwahio wasikusumbue tena hao MATAGANimeipitia hiyo imeeleza vizuri sana mkuu ubarikiwe sana
Ahsante sana chiefAmen, kwahio wasikusumbue tena hao MATAGA
Na wako na shida nyingi kweli, hawana hata senti ila saa wanavyoji-mwambafy utadhani wako na undugu na jamaa wa QnetHivi ni kweli mataga huwa na uwezo mdogo darasani???
Nimefanya utafiti kwa madaga 75 nimeona kuna viashiria vya ukweli
[emoji1787][emoji1787]Na wako na shida nyingi kweli, hawana hata senti ila saa wanavyoji-mwambafy utadhani wako na undugu na jamaa wa Qnet
Ni makunguru ya lumumba
When Tanzania became great? Compared for which country au ni kucopy ya maneno ya wakina Trump
Tanzania ilisha wahi kua great?
Mbwembwe za kisiasa tu mkuu, hata Trump na wafuasi wake wa MAGA, Make America Great Again, wanampinga na kumwambia America haijawahi kushuka kutoka kwenye greatness yake, so ataifanya great again wakati bado Ni great?Trump alianzisha Make America Great Again - MAGA
Wao lummumba buku 7 wasivyo na akili za kufikiria wakaanzisha Make Tanzania Great Again- MATAGA
Sasa swali ni lini Tanzania ilikuwa Great
matangaaWanajamvi habari ya asubuhi? Ni matumaini yangu mmeamka vyema, naomba kufahamishwa maana ya neno MATAGA, ahsanteni sana
Make Tanzania Great Again, japo sijui waliotoa kauli hii walianzia wapi na walilenga nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa nafikiri unaanzakuona maana halisi ya Mataga
Wameenda kutohoa kwenye ule usemi wa *make America great again*Make Tanzania Great Again, japo sijui waliotoa kauli hii walianzia wapi na walilenga nini
Wazee wa Good morningNa wako na shida nyingi kweli, hawana hata senti ila saa wanavyoji-mwambafy utadhani wako na undugu na jamaa wa Qnet
kipindi cha mwalim hadi huduma nyingi zilikua bure kulikua hadi na mabasi ya mwendokasi malefu kama haya yalikua yanaitwa ikalusi kazi zilikua nje nje ukimaliza form four tu unachagua ukafanye kazi shirika gani na walikua wanawafata shuleniTanzania ilisha wahi kua great?