Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,644
- 3,806
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.