Nini hasa hupelekea wasichana kubadilika kimuonekano baada ya kuzaa?

MImawhite

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
237
397
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini...ndio majukumu au nini hii.....

Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa sister du sio wa nchi hii...mrembo haswaa....sasa huyu binti now amezaa watoto wawili lakini hali yake kimwili inahuzunisha hajijali tena wala kujithamini kama zamani ....akiamka na kanga aliyovaa asubuhi atashinda nayo mpaka jioni na anaona kawaida sana....sasa najiuliza kilichombadilisha hasa majukumu mengi,ndio amezaa amezeeka au ndiobmaisha magumu mpaka mtu unashindwa kujipenda mwenyewe..kwakweli nimeshindwa kabisa kupata jibu.
 
Hiyo hali si ngeni sana kwangu kuwaona waliokuwa wakisumbua Kitaa wakichoka mapema.

Wadada wengine expire date inawanyemelea mapema mno. Ila siyo wote, wengine miili yao iko vizuri.

Ngoja tusubirie wataalamu wa mambo haya Waje.
 
Siwezi kumcheka hali ya kuwa na mm ni mwanamke isipokuwa nimeona sana hili linatokea sasa najiuliza kwa nini inakuwa vile...siwezi kumcheka mamba hali ya kuwa sijavuka mto
 
Matunzo jamani, mtu anajifungua lakini hata supu na mtori ni kiulizo unadhani atakuaje baada ya miezi miwili ya kujifungua? Na hiyo yote ni sisi wanaume unamzalisha mtu halafu unakula chochoro huhudumii mama wala mtoto.

Kuna case study ipo mtaani ilikua na chura kama masogange sasa hivi chura wake kama wa Lina, wageni wa mtaa wanaona bado anadai ila wenyeji tunajua pale kashuka.
 
Back
Top Bottom