Nini gari ya wema!! Kitu mjengo wa miss neddy.

Nini gari ya wema!! Kitu mjengo wa miss neddy.

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Nikiwa na akili timamu nakumilikisha huu mjengo na kila kilichomo ndani ni Mali yako
miss neddy hati miliki utaikuta PM,

Cc: Excel
 

Attachments

  • 1412614206598.jpg
    1412614206598.jpg
    38.6 KB · Views: 1,456
Last edited by a moderator:
Hahhaaaaa uwiii miss neddy hongeraa kwa nyumbaaa
 
Last edited by a moderator:
Jamani hili sio lile hekalu la mama rwakatare?
 
Nikiwa na akili timamu nakumilikisha huu mjengo na kila kilichomo ndani ni Mali yako
miss neddy hati miliki utaikuta PM,

Cc: Excel

Hahahahaaaa uuuwiiii JF raha jamani ni afadhali nikose cha usiku kuliko bundle
 
Last edited by a moderator:
miss neddy unajikausha nini, hebu kuja huku kuna zawadi zako au unataka BMW na Murrano!??
 
Last edited by a moderator:
Miaka ya 18oo ukiwa na mjengo kama huo unaukwaa ufalme/uchief
 
Hahahaaaaaaaa!ama kweli watu na bahati zao,mjengo wa ukweli
 
Tee Bag umeujengea gharama kiasi gani huu mjengo? dadeki boonge la zawadi!

ni yake yake au amepanga?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom