Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,116
- 12,923
Christiano Ronaldo anasemajeSasa kama huna ndevu mkiwa ndani kitandani na mkeo mwanaume anakua nani?
Christiano Ronaldo anasemajeSasa kama huna ndevu mkiwa ndani kitandani na mkeo mwanaume anakua nani?
Haya lalaUmekaririshwa. Hujui Ndevu Siku Hizi Imekuwa Kitu Kinachovutia Kwa Watu Wote Bila Kujali Dini Zao. Naona Unaumia Sana Au Basha Wako Hana Ndevu?
Hawajui wataliano huyoUmekaririshwa. Hujui Ndevu Siku Hizi Imekuwa Kitu Kinachovutia Kwa Watu Wote Bila Kujali Dini Zao. Naona Unaumia Sana Au Basha Wako Hana Ndevu?