Nini faida ya kuwa na midevu mingi?

Nini faida ya kuwa na midevu mingi?

Hahahaa!

Kumbe ndevu ni kwa ajili ya kujitambulisha kuwa wewe ni mwanaume?

Kama wafuga ndevu wengine wana mawazo kama yako, chuo ni udhaifu.Kuna mapungufu unayo ndio maana unatafuta kitu cha kufidia
Sasa kama huna ndevu mkiwa ndani kitandani na mkeo mwanaume anakua nani?
 
Kufuga ndevu ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume.

Wanaume wengi hufuga ndevu au kunyanyua vyuma kukuza vifua ili kuwavutia warembo waone kuwa wamekutana na mwanaume wa ukweli.Ila bahati mbaya wakianza mahusiano wanawake wako kwenye hatari kubwa ya kuchepuka kwa sababu picha waliyokuja nayo inayooneshwa na ndevu na misuli ya kifua kiuhalisia haipo.Kwa hiyo xinatumika kama chambo tu.

Ni kawaida ya binadamu kufidia mapungufu yake kwa kutukuza alichojaliwa.
 
Mfano ukikuta mtoto wa kiume anajisifu "Mimi ni mwanaume" au kidume" basi huyo ana mapungufu na hivyo anatumia sauti yake kufidia mapungufu hayo kwa kuwatambia wenzake kwa maneno. Wanalazimisha kuaminiwa kwa kuwa hawajiamini
 
Kwani zamani walikuwa wananyoa,
Ukiwa na pesa zitakupendeza tuu,
Ukiwa masikini ni kituko na uchafu
 
Wengine wanataka kuitwa wawa[emoji23][emoji23]
 
Kuna yule mtoto alimuona singasinga ana ndevu mpaka mdomo haonekani,dogo akamauita mama yake mama! Mama! Njoo umuone singasinga hana mdogo.Yule singasinga alisikia hivyo akaguna kisha akazisogeza sogeza ndevu zake na mkono ili mdomo uonekane kisha akamwambia dogo(kwa kiswahili cha kihindihindi)"wewe nasema singasinga hana domo na hii kundu ya mama yako!"
Nmecheka peke yangu balaaa
 
Wadau, poleni na kazi ,poleni na majukumu wakati tukielekea kuukaribisha mwaka mpya. Yote kheri, ada za watoto wanaanza kufungua January 11, 2021 zinatusubiri.

Yote sawa. Tumezoea.


Naomba kuuliza [emoji107]

Kwanini watu wanafuga ndevu nyingii mpaka hata mdomo unakuwa hauonekani ? Kuna logic gani hasa ?

Ukilala na mwanamke na midevu imekujaa mdomoni nini faida yake ?

Shida nini kufuga midevu kiasi kwamba mdomo unakuwa hauonekani , mkeo anakulaje denda?
Sisi Muslims wanaume tunatakiwa kupunguza Sharubu na kutunza ndevu.
Na hapo tutajitofautisha na Manasara ambao wao hunyoa ndevu na kufuga sharubu
Na Mayahudi hufuga zote sharubu na Ndevu mpaka kufunika Mdomo
 
Mwanaume aliumbiwa na Mwenyezi Mungu ndevu , Mitume wote wa Mwenyezi Mungu walifuga ndevu. Na kuna aina 2 za ndevu za kiyaudi na kiisilamu
 
Wewe unafikiri kila mtu ana uwezo wa kuwa na ndevu?mwaname ndevu bhana,garden na kikwapa kikali kidogo sio mwanaumwe unanukia kama demu
 
Back
Top Bottom