Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,520
- 14,857
Mbona nasikia wadada wanapenda sana hizo
Soma nilichoandika.Yeye ndiyo alikua hapati usingiz bila kukunwa ndevu au wewe hupati bila kukuna ndevu zake?
soma nilichoandika.
Usingizi ulikua hauji kwa nani? Kwako au yeye?nimemkumbuka ex jaman usingizi ulikua hauji mpaka nikune ndevu
UnanichoshaUsingizi ulikua hauji kwa nani? Kwako au yeye?
Kiswahili hiki!!
Poleee.. huku kwetu mkoani ni usiku na watu wa Dar sijui kama usiku tayari hivyo lala salamaunanichosha
Tupia picha yako tuone kama ni kweli una ndevuPicha kidogo..
Kuna ndevu na sharubu...huyo atakuwa kafuga vyote...ambapo huwa kama uchafu.
Binafsi napenda kufuga ndevu....najua maumivu wanayopata wasiokuwa na ndevu wakimuona beberu,poleni sanaaa
KweliNgoja tusubilie watu wa pwani......waje watupe mwongozo......na asilimia kubwa Muslims ndiyo wafuga ndevu
Hivi bado kuna wanaume wanaotegemea vitu vya ajabu ajabu kama ndevu ili kuvutia warembo..?🤣🤣Mbona nasikia wadada wanapenda sana hizo
Avatar inaongea best..😅Tupia picha yako tuone kama ni kweli una ndevu
[emoji849][emoji15]Ndevu ziwe za wastani sio midevu Kama osama plus matunzo zero ovyoo
Tundevu twa wastani ..hata ukitaka kukuna kidevu hupati Shida..mixer tundevu tukigusagusa chuchu ..[emoji41]
Hiyo ni too much bana, agrrrrrrAvatar inaongea best..😅
Acha wivu na kidevu chako kama bulbNaomba kuwasilisha....View attachment 1663360