Nini faida ya kuwa na midevu mingi?

Nini faida ya kuwa na midevu mingi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wadau, poleni na kazi ,poleni na majukumu wakati tukielekea kuukaribisha mwaka mpya. Yote kheri, ada za watoto wanaanza kufungua January 11, 2021 zinatusubiri.

Yote sawa. Tumezoea.

Naomba kuuliza

Kwanini watu wanafuga ndevu nyingii mpaka hata mdomo unakuwa hauonekani? Kuna logic gani hasa?

Ukilala na mwanamke na midevu imekujaa mdomoni nini faida yake?

Shida nini kufuga midevu kiasi kwamba mdomo unakuwa hauonekani, mkeo anakulaje denda?
 
wengi tunafugaaa kama #ze beberuu!!😂😤dume mbeguuu!!
Buck-4.jpg

FB_IMG_1605587606140_1.jpg
 
Naona ni Mapenzi tuu,
Wengine pia wakinyoa wanatoka sana mapele,
Kuna wale wanao jikwangua kila siku, ukimuangalia kidevu, shingo na Shavu ngozi imekomaa, makovuu, mapele sasa huyo sio denda kama unavyosema, ni gunzi limepita mdomoni.
 
Inategemeana na watu tu, wengine wanafuga ndevu kwa mkumbo yani kaona flani zinamfaa yeye anafuga tu.
But possible reason ni fashion
 
Wadau, poleni na kazi ,poleni na majukumu wakati tukielekea kuukaribisha mwaka mpya. Yote kheri, ada za watoto wanaanza kufungua January 11, 2021 zinatusubiri.

Yote sawa. Tumezoea.


Naomba kuuliza [emoji107]

Kwanini watu wanafuga ndevu nyingii mpaka hata mdomo unakuwa hauonekani ? Kuna logic gani hasa ?

Ukilala na mwanamke na midevu imekujaa mdomoni nini faida yake ?

Shida nini kufuga midevu kiasi kwamba mdomo unakuwa hauonekani , mkeo anakulaje denda?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sasa kama huna ndevu mkiwa ndani kitandani na mkeo mwanaume anakua nani?
 
Ngoja tusubilie watu wa pwani......waje watupe mwongozo......na asilimia kubwa Muslims ndiyo wafuga ndevu
 
Ndevu za sehemu gan? Usikute unazungumzia Voooz!
Tofautisha nywele na ndevu, nadhani manyoya yote yaliyopo mwilini yana majina yake kulingana na sehemu yalipojiamulia kuota(Kuna Nyusi, Vinyweleo, Kope, Ndevu, Masharubu, Nywele n.k)
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom