Nini faida ya kuwa na midevu mingi?

Nini faida ya kuwa na midevu mingi?

Hivi bado kuna wanaume wanaotegemea vitu vya ajabu ajabu kama ndevu ili kuvutia warembo..?[emoji1787][emoji1787]
Sio Wanaume wanategemea, ni Wanawake ndio wanaopenda Wanaume wenye Ndevu

The case here is Women wishes...!
 
Wadau, poleni na kazi ,poleni na majukumu wakati tukielekea kuukaribisha mwaka mpya. Yote kheri, ada za watoto wanaanza kufungua January 11, 2021 zinatusubiri.

Yote sawa. Tumezoea.

Naomba kuuliza [emoji107]

Kwanini watu wanafuga ndevu nyingii mpaka hata mdomo unakuwa hauonekani ? Kuna logic gani hasa ?

Ukilala na mwanamke na midevu imekujaa mdomoni nini faida yake ?

Shida nini kufuga midevu kiasi kwamba mdomo unakuwa hauonekani , mkeo anakulaje denda?
Mke hatakiwi kula denda, denda ni haki ya mchepuko
 
Wadau, poleni na kazi ,poleni na majukumu wakati tukielekea kuukaribisha mwaka mpya. Yote kheri, ada za watoto wanaanza kufungua January 11, 2021 zinatusubiri.

Yote sawa. Tumezoea.

Naomba kuuliza [emoji107]

Kwanini watu wanafuga ndevu nyingii mpaka hata mdomo unakuwa hauonekani ? Kuna logic gani hasa ?

Ukilala na mwanamke na midevu imekujaa mdomoni nini faida yake ?

Shida nini kufuga midevu kiasi kwamba mdomo unakuwa hauonekani , mkeo anakulaje denda?
Mkuu umezungukaaaa ila ulitaka tuu utokee apo kwenye denda 😂😂😂
 
Kuna yule mtoto alimuona singasinga ana ndevu mpaka mdomo haonekani, dogo akamauita mama yake mama! Mama! Njoo umuone singasinga hana mdogo. Yule singasinga alisikia hivyo akaguna kisha akazisogeza sogeza ndevu zake na mkono ili mdomo uonekane kisha akamwambia dogo(kwa Kiswahili cha kihindihindi) "Wewe nasema singasinga hana domo na hii kundu ya mama yako!"
 
Kuna yule mtoto alimuona singasinga ana ndevu mpaka mdomo haonekani,dogo akamauita mama yake mama! Mama! Njoo umuone singasinga hana mdogo.Yule singasinga alisikia hivyo akaguna kisha akazisogeza sogeza ndevu zake na mkono ili mdomo uonekane kisha akamwambia dogo(kwa kiswahili cha kihindihindi)"wewe nasema singasinga hana domo na hii kundu ya mama yako!"
Aiseeh!
 
Mbona mitume na manabii wa zamani walikuwa wanafuga
Mikasi kipindi hicho ilikua adhimu, ukicheki ule uchebe wa petro kwenye movie ya yesu utanielewa

Ndevu nyingi ni fujo pia ni risk hata kwa mfugaji

Ikitokea siku ameumwa yuko hoi kafumba mdomo anaweza akashindwa kumeza dawa kutokana na ugumu wataopata wauguzi kwenye kuutafuta mdomo ulipo
 
Back
Top Bottom