Nini faida ya kuwa Mpagani?

Nini faida ya kuwa Mpagani?

Ndio nawauliza wapagani maana wamedai wao hawaamuamini Mungu na wanatumia nguvu zao kwenye kila jambo.
Sasa kama ni hvyo na tunajua kwamba malaika wameumbwa na Mungu nilitegemea kuwe na njia yao tofauti ya kuwakwepa hawa malaika kwa kutumia akili yao binafsi.
Ulishawaona hao malaika?
 
Mkuu hivi kweli upo serious unauliza swali la namna hii na kwenye komenti yangu nimeshaandika ni swala la kufikiri tu!

Mkuu hebu Kuwa serious..😅
mkuu mafundisho ya dini watu wanayaamini as pure facts kiasi kwamba inakuwa ngumu kutofautisha imani na facts
 
No stress ya dhambi! Labda sheria za nchi.. pili huna hofu juu ya uchawi au nguvu zozote za kiroho! Kuna baadhi ya watu hujitesa kwa kuamini tu hizo nguvu za kiroho ama ktk negative au positive!.
Kila chakula kwako ni halali hakuna hofu ya kufuru au kujichafua kiroho!

Kila fikra unaweza kufikiri bila ya Kuwa na limitation ya kumkufuru kiumbe fulani!.

Hakuna sheria ya dini inakukaba kuhusu maisha yako ya ndoa,wewe au nyinyi ndo waamuzi wakuu ya nini muamue bila ya hofu za kiimani!.. Kuna watu wanaishi ndoa zao kwa mateso na wanashindwa kuachana kisa sheria za dini!

Unaimarika kiakili vizuri ktk kutatua matatizo yako kwani hakuna wa kumtegemea pale unaposhindwa kila kitu I mean huna kauli za kusema "Namuachia Mungu" kila tatizo lako utakomaa nalo..

Angalizo Kama mtu anataka Kuwa mpagani basi yafaa awe na akili imara na timamu sana Tena sana kwa maana Kuwa mpagani hakukupi ruhusa ya moja kwa moja Kuwa huru ktk kila kitu so ni muhimu mtu kuzingatia sheria za kimazingira(fikiri zaidi hapo) ili Kuwa salama na kuwa ktk ubora wako wewe Kama kiumbe hai kinachoweza kufuata sheria mama za dunia pasipo msukumo ama kutishwa au kushurutishwa na kiumbe mwengine.
Tangu nikujue humu JF leo ndo naona umeandika point!..

sijui umeshiba sana jwisi kola
 
Lakini pia kuna non religous theists ambao hawana dini ila wanaamini uwepo wa Mungu
Mimi nimeamua kuchukua uelekeo huu kitambo sasa.
Naamini Mungu ambaye ni muumba yupo lakini sitaki kuamini au kufungwa na hizi dini za kiyahudi (uislam, ukristo na judaism yenyewe).
 
Tatizo sio kuwa mpagani!!, Tatizo ni kwenda kanisani for fashion😀

YAANI TATIZO KUBWA NI KUWA NDUMILAKUWILI
 
No stress ya dhambi! Labda sheria za nchi.. pili huna hofu juu ya uchawi au nguvu zozote za kiroho! Kuna baadhi ya watu hujitesa kwa kuamini tu hizo nguvu za kiroho ama ktk negative au positive!.
Kila chakula kwako ni halali hakuna hofu ya kufuru au kujichafua kiroho!

Kila fikra unaweza kufikiri bila ya Kuwa na limitation ya kumkufuru kiumbe fulani!.

Hakuna sheria ya dini inakukaba kuhusu maisha yako ya ndoa,wewe au nyinyi ndo waamuzi wakuu ya nini muamue bila ya hofu za kiimani!.. Kuna watu wanaishi ndoa zao kwa mateso na wanashindwa kuachana kisa sheria za dini!

Unaimarika kiakili vizuri ktk kutatua matatizo yako kwani hakuna wa kumtegemea pale unaposhindwa kila kitu I mean huna kauli za kusema "Namuachia Mungu" kila tatizo lako utakomaa nalo..

Angalizo Kama mtu anataka Kuwa mpagani basi yafaa awe na akili imara na timamu sana Tena sana kwa maana Kuwa mpagani hakukupi ruhusa ya moja kwa moja Kuwa huru ktk kila kitu so ni muhimu mtu kuzingatia sheria za kimazingira(fikiri zaidi hapo) ili Kuwa salama na kuwa ktk ubora wako wewe Kama kiumbe hai kinachoweza kufuata sheria mama za dunia pasipo msukumo ama kutishwa au kushurutishwa na kiumbe mwengine.
Fact
 
Back
Top Bottom