Nini faida ya kuwa Mpagani?

Nini faida ya kuwa Mpagani?

Hakuna Faida Yoyote,Isipokua Unatafuta Ahueni Ya Kutenda Maovu Bila Kupingwa na Sheria za Dini nk.

Njia Nyembamba Ni Ile Iendayo Uzimani.
Njia Pana Ni Ile Iendayo Motoni.
 
wewe ndio ulishindwa kufikiri baadhi ya mambo ndio maana nimekupiga hilo swali.
Maana kwa hoja zako ulizotoa ni kwamba wapagani wanataka kujitofautisha na waumini wengine wa kiislam/kikristo lakini kuna vitu fulani umeshindwa kuvitafakari kwa mfano ishu ya kifo,nilitegemea pia uonyeshe utofauti kati ya kifo cha muislam,mkristo na mpagani maana ulidai mambo mengi wapagani mnatumia nguvu yenu binafsi
Ungekuwa unajua kufikiri usingeuliza hili swali.
 
wewe ndio ulishindwa kufikiri baadhi ya mambo ndio maana nimekupiga hilo swali.
Maana kwa hoja zako ulizotoa ni kwamba wapagani wanataka kujitofautisha na waumini wengine wa kiislam/kikristo lakini kuna vitu fulani umeshindwa kuvitafakari kwa mfano ishu ya kifo,nilitegemea pia uonyeshe utofauti kati ya kifo cha muislam,mkristo na mpagani maana ulidai mambo mengi wapagani mnatumia nguvu yenu binafsi
Mkuu hivi kweli upo serious unauliza swali la namna hii na kwenye komenti yangu nimeshaandika ni swala la kufikiri tu!

Mkuu hebu Kuwa serious..😅
 
Kwamba kuna style fulani ya vifo ambayo hufa waumini wa dini fulani ili kujitofautisha na dini nyingine?
 
Wapagani wengi wa JF kila linapotokea jambo baya linalomhusisha Kiongozi wa dini ama ya Kikristo au Kiislamu huwa wanaonesha kwamba wao wako salama kwa kuwa tu ni wapagani.

Faida ya kuwa mpagani tofauti na kuwa Mkristo ama Muislamu ni nini? Uzuri wa kuwa Mpagani uko kwenye nini?
Unamjua mpagani? Acha matusi kijana kisa kukaririshwa
 
Kuwa mpagani cyo issue ikiwa unaishi ktk misingi thabiti ya kumuheshimu Mungu,mana dini ni njia tu ya kujifunza mambo kumuhusu Mungu na siyo kwmba ukiwa mwanadini bs upo salm.

Mungu anacho hitaji kwa binadamu pekee ni kumtanbua kwa kumtii, kumuheshimu na kumuabudu over. Hivyo naweza kuw cna dini lakn nikamtii vilevile.

Afu msichanganye concept,kuwa mpagani hakuna maana huamini uwepo wa Mungu hapn,bali mpagani ni yule asiye amini katka dini yoyot ile iwe ya wazungu,waarabu,wahindi au wajapani.

Neno mpagani lilikuja pale baada ya baadhi ya waafrika kuzikataa dini hizo lkn before walikua na dini zao hv mpagani anaimani yake juu ya Mungu na mbingu anawez iona ikiwa atakuw tu matendo safi mbele za Mungu.
 
Kwamba kuna style fulani ya vifo ambayo hufa waumini wa dini fulani ili kujitofautisha na dini nyingine?
Ndio nawauliza wapagani wanijibu maana wamechagua mifano michache kama ya ndoa,ibada wakaitolea ufafanuzi kujionesha wao wako tofauti kwenye kila kitu ila wakaficha baadhi ya mambo.
 
Usijizungushe ili ukwepe kujibu swali.
Kwenye comment yako umeelezea baadhi ya mambo kama ndoa na kuonesha mfumo wenu ni wa tofauti na binadamu wengine lakini kuna vitu kama kifo hujaelezea.
Mkuu hivi kweli upo serious unauliza swali la namna hii na kwenye komenti yangu nimeshaandika ni swala la kufikiri tu!

Mkuu hebu Kuwa serious..
 
Unapambanaje na malaika mtoa roho?
Ndio nawauliza wapagani maana wamedai wao hawaamuamini Mungu na wanatumia nguvu zao kwenye kila jambo.
Sasa kama ni hvyo na tunajua kwamba malaika wameumbwa na Mungu nilitegemea kuwe na njia yao tofauti ya kuwakwepa hawa malaika kwa kutumia akili yao binafsi.
 
Usijizungushe ili ukwepe kujibu swali.
Kwenye comment yako umeelezea baadhi ya mambo kama ndoa na kuonesha mfumo wenu ni wa tofauti na binadamu wengine lakini kuna vitu kama kifo hujaelezea.
Nitakujibu kwa ufupi tu wapagani wanaamini hakuna kinachoendelea baada ya kifo so hakuna malaika wala mbute yoyote huko.. kufa ni Kama kabla ya wewe kuzaliwa hukua chochote.
 
Back
Top Bottom