Nini faida ya kuwa Mpagani?

Nini faida ya kuwa Mpagani?

Hizi dini za kisasa zipo zipo TU ili kutisha tisha tusiyafaidi mema ya hii dunia.
 
Ukiwa mpagani hutampelekea mchungaji pesa za bure wala mkeo hataenda kumpikia ambako wengi wameishia kupelekwa kwa mpalange
 
Haaahaaahaa mnafukua makaburi tu,

Anyway dini ni utapeli uliochangamka

Waumini ni watapeliwa waliokubali mtapeli awatapeli kwa hiali yao wenyewe hivyo.........

Dini ni utapeli wa kujitakia
 
Dah ..naona mnajitahid kunichonganisha na Mungu wangu..Af mwisho wa mwez uuleee fungu la 10 nono kwel...bwana wee mi napeleka hivyo hivyo 😆😆😆
 
Wapagani wengi wa JF kila linapotokea jambo baya linalomhusisha Kiongozi wa dini ama ya Kikristo au Kiislamu huwa wanaonesha kwamba wao wako salama kwa kuwa tu ni wapagani.

Faida ya kuwa mpagani tofauti na kuwa Mkristo ama Muislamu ni nini? Uzuri wa kuwa Mpagani uko kwenye nini?
Sasa sisi wengine sio wapagani, labda tusubiri waje
 
Utakuwa na raha kwani hutapata mda wa kuwaza kuhusu hizi dini zilizoanzishwa na binadamu
 
Back
Top Bottom