mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,229
- 13,940
Na mnaamini kitu gani huwa kinawaua?Nitakujibu kwa ufupi tu wapagani wanaamini hakuna kinachoendelea baada ya kifo so hakuna malaika wala mbute yoyote huko.. kufa ni Kama kabla ya wewe kuzaliwa hukua chochote.