Nini faida ya kuwa Mpagani?

Nini faida ya kuwa Mpagani?

kuna tofauti kati ya mpagani,non religious na Atheist...mkristo anamuona muislam ni mpagani.
Muhammad aliwaona wale waarabu wanaoabudu mawe na kuzunguka kaaba ni wapagani.
Inshort mpagani ni mtu anayeabudu kitu nje ya Mungu wa kweli...Kwa wengine wahindu ni wapagani na mamiungu yao...
Mpagani anaweza kuwa na dini ya kipagani.
Lakini Atheist Haamini uwepo wa mungu na Hana dini

Lakini pia kuna non religous theists ambao hawana dini ila wanaamini uwepo wa Mungu
Mbona hujawataja agnostic..? Hawa hawajui kuhusu Kuna Mungu au hayupo..😂

Mkuu unaposema Mungu wa kweli kila mtu atasema Kuwa anachokiabudu ni Mungu wa kweli! Hata waislamu huwaita walionje na dini yao Kuwa makafiri! So haijalishi upo wapi lkn ukiwa nje na uabuduji wa kiislamu Basi wewe ni kafiri!. Ninavyofahamu Mpagani hana dini na Wala haabudu Kama ingelikuwa Wana dini Basi wapagani wote wangekuwa na sheria za kufuata juu ya dini yao ya kuabudu na pia kuwaheshimisha zaidi wangeitwa kwa jina la kile wanachokiabudu walau.. Mkuu kwangu uelewa wangu umeishia hapo.
 
uislam umejaa contradiction ila kikubwa uislam unautambua ukristo na Uyahudi mpaka kuna aya zinasema wakristo na wayahudi wataenda mbinguni..wanaamini Mungu wa wayahudi na wakristo Ni Allah na mitume ni walewale so sio wapagani..ila issue hapa sio nani kafir au nani sio ishu ni upagani..Uislam unatambua Ukristo na Uyahudi sio Upagani Lakini hawa wakristo na wayahudi hawautambui uislam/Allah kwahyo kwao uislam ni upagani....lakini pia wale maquraysh wa mecca kipindi kile cha mtume waliitwa wapagani..Lakini sio kwamba hawakuwa na dini maana walikuwa na miungu zaidi ya 300 na waliiabudu pale kaaba kwa kuzunguka mara saba.
Mpagani anaweza kuwa na dini au asiwe nayo ila as long as haamini katika Mungu wa kweli(kwa mtu husika) basi ni mpagani.Meaning anaabudu foreign gods.
Kwahyo mbudha anaweza kumuita mkristo mpagani.
Babu zetu walioabudu miti tunawaita wapagani lakini dini walikuwa nayo.

Pia huwez kusema wapagani wangekuwa na utaratibu kwasabab sio wote wanaamini kitu kimoja..wengine wanaabudu mizimu,wengine jua,wengine miti wengine Bahari wengine hawaamini kabisa
 
Kutokuwa "mtumwa " . Hatakutana na "Mimi ni njia ya uzima, ukipitia kwangu utamuona Baba yangu wa Mbinguni " . Hutakimbilia kubatizwa kwa kuogopa moto wa milele. Utakuwa huru kwa kufuata imani yako ya jadi.
 
uislam umejaa contradiction ila kikubwa uislam unautambua ukristo na Uyahudi mpaka kuna aya zinasema wakristo na wayahudi wataenda mbinguni..wanaamini Mungu wa wayahudi na wakristo Ni Allah na mitume ni walewale so sio wapagani..ila issue hapa sio nani kafir au nani sio ishu ni upagani..Uislam unatambua Ukristo na Uyahudi sio Upagani Lakini hawa wakristo na wayahudi hawautambui uislam/Allah kwahyo kwao uislam ni upagani....lakini pia wale maquraysh wa mecca kipindi kile cha mtume waliitwa wapagani..Lakini sio kwamba hawakuwa na dini maana walikuwa na miungu zaidi ya 300 na waliiabudu pale kaaba kwa kuzunguka mara saba.
Mpagani anaweza kuwa na dini au asiwe nayo ila as long as haamini katika Mungu wa kweli(kwa mtu husika) basi ni mpagani.Meaning anaabudu foreign gods.
Kwahyo mbudha anaweza kumuita mkristo mpagani.
Babu zetu walioabudu miti tunawaita wapagani lakini dini walikuwa nayo.

Pia huwez kusema wapagani wangekuwa na utaratibu kwasabab sio wote wanaamini kitu kimoja..wengine wanaabudu mizimu,wengine jua,wengine miti wengine Bahari wengine hawaamini kabisa
Dini zote zina contradictions kibao. Ni sawa sawa na vyama vya siasa..lazima vitofautiane mawazo yao.
Sasa cha kushangaza eti Mungu ni mmoja lakini sisi wenyewe binadamu tunabaguana na kuona dini yake ni bora kuliko ya mwingine. Wewe huoni kuwa ni ukosefu wa akili?
 
Wapagani pia wanaamini "miungu", jaribu kutofautisha wapagani na wasioamini kabisa 'atheists'

Unaowazungumzia wewe ni atheists na si wapagani.
 
Dini zote zina contradictions kibao. Ni sawa sawa na vyama vya siasa..lazima vitofautiane mawazo yao.
Sasa cha kushangaza eti Mungu ni mmoja lakini sisi wenyewe binadamu tunabaguana na kuona dini yake ni bora kuliko ya mwingine. Wewe huoni kuwa ni ukosefu wa akili?
Mungu sio mmoja...ndo hapo Tatizo linapoanzia
 
Ongezea na kuwa Mhindu, Mbudha, Mbohora, Muhamidiya n.k. Usiishie kutaja dini mbili tu.
Wapagani wengi wa JF kila linapotokea jambo baya linalomhusisha Kiongozi wa dini ama ya Kikristo au Kiislamu huwa wanaonesha kwamba wao wako salama kwa kuwa tu ni wapagani.

Faida ya kuwa mpagani tofauti na kuwa Mkristo ama Muislamu ni nini? Uzuri wa kuwa Mpagani uko kwenye nini?
 
No stress ya dhambi! Labda sheria za nchi.. pili huna hofu juu ya uchawi au nguvu zozote za kiroho! Kuna baadhi ya watu hujitesa kwa kuamini tu hizo nguvu za kiroho ama ktk negative au positive!.
Kila chakula kwako ni halali hakuna hofu ya kufuru au kujichafua kiroho!

Kila fikra unaweza kufikiri bila ya Kuwa na limitation ya kumkufuru kiumbe fulani!.

Hakuna sheria ya dini inakukaba kuhusu maisha yako ya ndoa,wewe au nyinyi ndo waamuzi wakuu ya nini muamue bila ya hofu za kiimani!.. Kuna watu wanaishi ndoa zao kwa mateso na wanashindwa kuachana kisa sheria za dini!

Unaimarika kiakili vizuri ktk kutatua matatizo yako kwani hakuna wa kumtegemea pale unaposhindwa kila kitu I mean huna kauli za kusema "Namuachia Mungu" kila tatizo lako utakomaa nalo..

Angalizo Kama mtu anataka Kuwa mpagani basi yafaa awe na akili imara na timamu sana Tena sana kwa maana Kuwa mpagani hakukupi ruhusa ya moja kwa moja Kuwa huru ktk kila kitu so ni muhimu mtu kuzingatia sheria za kimazingira(fikiri zaidi hapo) ili Kuwa salama na kuwa ktk ubora wako wewe Kama kiumbe hai kinachoweza kufuata sheria mama za dunia pasipo msukumo ama kutishwa au kushurutishwa na kiumbe mwengine.
Na vipi ikifika siku ya kufa utatumia akili yako kupambana na malaika mtoa roho?
 
Back
Top Bottom