Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,418
- 29,432
Wakuu, yamenifika hapa!
Huyu ni mtoto aliyezaliwa takribani MIEZI 7 baada ya kumla kimasihara huyu MANZI, lakini 'sio' NJITI. Taarifa za mimba nilipewa kwa wakati, nikazipokea japo KIUTANI ila sikuwahi kuhudumia hata senti tano.
Mtoto alipozaliwa nikapewa taarifa, japo sikuweka akilini lakini sijawahi kutoa kauli ya kukataa. Bahati nzuri ni kwamba sijawahi kutoa SENTI yangu kwa namna yoyote ile, lakini wapi!
Mama mtoto si haba anao uwezo wa kulea, mimi sioneshi ushirikiano kwa namna yoyote... lakini sielewi ni sababu gani anaendelea kunihusisha na mtoto.
Mtoto "wangu" huyu ana zaidi ya mwaka sasa, sijawahi hata kuonana naye mubashara zaidi ya kutumiwa mapicha picha tu.
Kuna muda nawaza ni utani gani huu, naandaliwa mazingira gani hapa!
Hii inaweza kuwa nini na gharama zake huko mbele?