inaonyesha huyu mtoto mmoja wa wazazi si wake....makosa ya wazazi kuacha watoto wajilee wenyewe
mpaka wenzie wanamshika na kumfunga na tairi wazazi mpo wapi?
Watu wengine bhana sasa hata kama yeye mwenyewe ndo mhusika si msaidie kwa vile ameomba msaada njia ya kuacha ushoga.Kama huna au hujui njia ya kusaidia si lazima uweke comment zisizo na msaada kaa kimya,kweli wewe cobra.Watu wengine bwana
matatizo ya kwao lakini wanasingizia wengine!!! Eti kuna jamaa angu. Si
useme tu kwamba mwenzenu nimezidiwa nataka kuacha ushoga. Hiyo ndiyo
raha ya jf.
Watu wengine bwana matatizo ya kwao lakini wanasingizia wengine!!! Eti kuna jamaa angu. Si useme tu kwamba mwenzenu nimezidiwa nataka kuacha ushoga. Hiyo ndiyo raha ya jf.
Watu wengine bwana matatizo ya kwao lakini wanasingizia wengine!!! Eti kuna jamaa angu. Si useme tu kwamba mwenzenu nimezidiwa nataka kuacha ushoga. Hiyo ndiyo raha ya jf.