Nini dalili za mimba - Kwa wataalamu wajuao mambo

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Jamani naulizia eti ni zipi dalili za mimba ? Na zipo ngapi na ipi ni ya uhakika na kwa wakati gani utajua kama imenasa au bado haijatulia ???:israel:
 
Jamani naulizia eti ni zipi dalili za mimba ? Na zipo ngapi na ipi ni ya uhakika na kwa wakati gani utajua kama imenasa au bado haijatulia ???:israel:
1. Hii iende JFDoctor!
2. Namwachia Rev.Masa ajibu swali hili ambapo amekuwa na uzoefu nalo sana!
 
Mwiba, kwani umechakachua hivi hivi? Mie nazijua dalili za magonjwa ya zinaa, je unazihitaji na hizo?
 
Mwiba, kwani umechakachua hivi hivi? Mie nazijua dalili za magonjwa ya zinaa, je unazihitaji na hizo?
Apana si unajua mambo nilinadi apa miaka mmoja uliopita !! Sa naitaji izo dalili na kama haitoshi stage by stage ata chakula itahitaji kula ,si unajua uku akuna ugali tuna english samolina !!!
 
Apana si unajua mambo nilinadi apa miaka mmoja uliopita !! Sa naitaji izo dalili na kama haitoshi stage by stage ata chakula itahitaji kula ,si unajua uku akuna ugali tuna english samolina !!!

Mwiba ziko nyiingi sana kama wenye kubeba mimba walivyo wengi pia. Wewe usiwe na wasi wasi. Ukishampata na kumpachika hiyo mimba utazijua dalili zake zoote.

Practice is the best teacher...why not take it?
 
dalili

  1. kupoteza hedhi mwezi unaofuatia
  2. kula maembe
  3. chuchu kuuma
  4. kichefuchefu
  5. matiti kujaa
  6. sura inakuwa kama ya mtoto mdogo vile/ananawiri, etc
  7. Nenda ukapime baada ya mwezi mmoja; utakuta kitu na boksi!
 
Sasa hizo dalili naona ni mambo ya kawaida ,kula maembe ,chuchu ,kichefuchefu hizi zilikuwepo hata kabla sijafanya wasiwasi labda hiyo kupima kwani hakuna simple kupima tu ,kuna ulazima wa kwenda spitali,ivi uko vijijini wanajuaje ? Ata akuna ospitali ,mambo ya kienyeji .
 
mwiba huhtaji kwenda hospitali kupima. nenda drug store la karibu yako uombe kit ya kupimia uja uzito utapewa. Sawa na kununua pipi tu
 
ukiona panya wamezidi ndan kwenu ujue kimenasa
ukiona mende wanaruka ruka ujue tayar
ukiona bf anakubusu busu kila dk .....mahaba yamepamba mooooto ukue tayar
JAMAN IVI KWELI UJUI DALILI ZA MIMBAahhhh jaman au umu ndani kuna under 13?
dah kaz kwelikweli sa unadinyana tu pasipo kuelewa dalili za MATOKEO TENDO?
subiri ukue ili UFANYE TENDO KWA AMAN UKU UKILIJUA INN N OUT!
 
Nunua urine pregnance test kwenye duka lolote la madawa upime mkojo then utajua kama kitu kipo au hakipo
 
ukiona panya wamezidi ndan kwenu ujue kimenasa
ukiona mende wanaruka ruka ujue tayar
ukiona bf anakubusu busu kila dk .....mahaba yamepamba mooooto ukue tayar
JAMAN IVI KWELI UJUI DALILI ZA MIMBAahhhh jaman au umu ndani kuna under 13?
dah kaz kwelikweli sa unadinyana tu pasipo kuelewa dalili za MATOKEO TENDO?
subiri ukue ili UFANYE TENDO KWA AMAN UKU UKILIJUA INN N OUT!

bora umenisaidia hilo rose.
 
Jamani naulizia eti ni zipi dalili za mimba ? Na zipo ngapi na ipi ni ya uhakika na kwa wakati gani utajua kama imenasa au bado haijatulia ???:israel:

Jaribio rahisi la kujua kama una mimba au mwenzio amepata mimba:
Mimba huonekana baada ya siku saba kupita tangu itungwe. Tumia pregnant test strip (karatsi ya kupimia mimba), inauzwa duka la dawa za binadamu, bei yake haizidi TSh 2000.
Njia:
>kula chakula cha usiku au uroda kizembe (bila kutumia kondomu)
>subiri siku sita hadi saba zipite
>siku ya saba au siku ya nane, nenda duka la dawa za binadamu, nunua pregnant test strip (karatasi ya kupimiamimba).
>rudi nyumbani, chukua kifuniko cha chupa ya maji uhai, kisafishe kwa maji safi na kikaushe.
>ingia bafuni, jaza mkojo katika kifuniko hicho cha chupa.
>chukua karatasi ya kupima mimba na izamishe katika kifuniko chenye mkojo wa mtu unaetaka kumpima kuona kama ana mimba au laa, kiweke humo kwa muda sekunde 3 hadi 5.
>itoe hiyo karatasi na kisha iweke katika horizontal position (ilaze juu ya ubao)

HITIMISHO
>kama mimba imetungwa, kutatokea vistari viwili vyekundu. kama kikitokea kistari kimoja, ujue mimba haijatungwa.
 
Back
Top Bottom