jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Ndugu wana Jf nilipata binti aliyeonekana mwema machoni pangu ila alikua anapiga vizinga sana, katika minyanduano tofauti nilipiga kavu na sikuwa na hofu yeyote huku nikimjanza mbegu zangu ndani ya pochi manyoa yake
Baada ya kupita week mbili huyu binti alianza kunibadilikia gafla huku akionyesha dalili za wazi wazi za ujeuri, tamaa na kutaka kunitawala japo mimi kama mwanaume nimezipangua zote na kukaza sana kinamna
Ndugu zangu siku kadiri zinaenda alianza kubadilika haraka nilihisi ni mjamzito na bado na hisi hivyo ila hajapima kutokana na ujeuri wake kwa nini na sema ni mjamzito;-_
dalili alizo nazo mpaka sasa ngozi yake ya mwili imebadilika na kung'aa sana pamoja na viharara vya hapa na pale, tumbo alihisi linavuta katika kitovu na sasa anasikia tumbo lina mcheza na huku lina muuma sana , pia anadai haoni siku zake
Ndugu huyu binti kabadilika sana ,kawa mjeuri na majibu ya mkato sana, siku 2 zilizopita kasema tuachane nikamjibu mimi sikuachi ila kama unataka kuniacha sawa nenda maisha mema ila bado alikua kama hajiamini na maamuzi yake
Ndugu huyu binti (akili za kitoto ) ameaga vyema na akaniacha akafata njia zake mimi nikaamua nikae zangu kimnya japo alikua anaendelea kunitafuta huku akitishia mimba yangu akijua ipo ataitoa mimi napiga kimnya tuu
Cha kushangaza sana amejirudisha na anaomba nimpe uangalizi wa karibu na hapo bado sijajua kama kweli mimba ipo au laha maana sijapata kumpima nikajua ila anaonyesha hizo dalili hapo juu na bado kupima hataki kabisa .
Mimi kama mwanaume huyu binti kutokana na mienendo yake alivyosema basi ni hapo hapo nimeshikilia kabisa nasimpi matunzo tena nipo busy na maisha yangu.
Nahisi sana ni mjamzito kutokana na dalili zote na mienendo yake isiyoeleweka ya kubadilika badilika kama kinyonga ila hataki kupima mimba kabisa na mimi nisha move on .nimemwachia mambo yake.
Kwanini nipo hapa, ndugu huyu binti kweli nimemtelekeza kutokana na yeye alivyo amua ku-move on ila anasema ilikua ni hasira tuu na mabadiliko ya kimwili aliyo nayo maana hajielewi kama ni mjamzito kabisa na kupima hataki .
Sasa je, nisahihi kumtelekeza au nimemfanyia ukatili ilihali yeye anaonyesha kitojitambua au ni janja janja za wanawake .
Maan msimamo wangu upo pale pale acha aende cz haiwezekani hatakama ni mimba anipige mkwara na kutishia kutoa kama ipo na bado hataki kupima?