LINCOLINMTZA JF-Expert Member Mar 15, 2011 1,639 516 Oct 3, 2012 #1 AUAWA KWA TUHUMA ZA WIZI KATIKA AJALI YA MBALIZI MKOANI MBEYA - Global Publishers
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,623 112,693 Oct 3, 2012 #2 chanzo ni kwamba hata wakipelekwa polisi hamna kinachoendelea, ndo maana watu wanachukua hatua....mi najisikia vibaya
chanzo ni kwamba hata wakipelekwa polisi hamna kinachoendelea, ndo maana watu wanachukua hatua....mi najisikia vibaya
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,364 94,545 Oct 3, 2012 #3 Hapa kwa kweli hata Yesu alisema siku za mwisho upendo wa wengi utapoa Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hapa kwa kweli hata Yesu alisema siku za mwisho upendo wa wengi utapoa Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums