Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Si kweli ,kama wewe ni mwanaume nadhani utakuwa unaona wanaume wengi tu watu wazima from 50 and above jinsi wanavyo chepuka ,tena na mabinti wadogo tu.
Ni mambo magumu kiongozi, zipo sababu nyingi kweli. Ila mimi siafiki kuwa "ni nature ya mwanaume", mbona Mungu hakumuumba Adam na wanawake wengi?
 
exactly. its all bred from such a young age. hakuna cha udhaifu wala nature.

hawaoni wanawake walivyocharuka siku hizi, wamepigwa butwaa wameishia kuwaita majina na kutoa sayansi za uongo, eti tunachoka, hivi hamuoni wamama wa siku hizi walivyo ng'ari ng'ari wanachoka wapi!!

waangalie wenyewe MTU yuko 40 ashakuwa kibabu hata shughuli haiwezi tena na bado ana confidence ya kutoka nje. KITUKO.

wanajitengenezea mazingira wawe kama miungu watu. hata Soni hawana kutamka hadharani ni naturee!!

but wanawake nao wanachangia. si ndo wanayofundana jinsi ya kudeal na macheaters. akirudi MPE shamra zote na maombi juu.

I'll never stoop so low. yani afanye dhambi zake huko anarudi nyumbani anajua anapokewa na mabusu na kapikiwa mboga saba?? hahaa. mbona utakula majivu na utafute pa kulala by the way.

sijajua nitareact vipi siku nikijua NIMEIBIWA. but praying for you and treating you well are the last things on my list if all else fails.
 
Ni mambo magumu kiongozi, zipo sababu nyingi kweli. Ila mimi siafiki kuwa "ni nature ya mwanaume", mbona Mungu hakumuumba Adam na wanawake wengi?
Teh "na hao wawili watakuwa mwili moja". Mungu alimfanyia Adam msaidizi na sio wasaidizi
 
Hahaaaa!! There you are!
Word!
 
Kiongozi, hapo sina jibu la moja kwa moja. Najua wapo 40s, 50s hadi 60s wana michepuko hatari. Labda stress, pride, ujana(ili hali ni watu wazima), naamini zipo sababu nyingi tu lakini victims wengi ni vijana 18-35yrs.

Ndo maana naamini kabisa kuwa kuchepuka ni jambo la asili.
 
Hakuna mwanaume ambaye hajawahi kucheat duniani. Thought pekee yake inatosha then linakuj tendo.
 
Kamainavyojulikana wanaume wengi huwa na tamaa sawa wanawake nao huwanatamaa lakini wanaume uwawanazidi na kutokana na hili mungu mwenyewe anasema katikadini ya kiisilamu kwamba mwanaume anaruhusiwa kuoa hata wake 4 menaake kalihona hilo na kwa upande wawanawake mwanamke m
 
Kwa mtaji huu wa yote niliyoyasoma hapa inabidi wanandoa wote wenye watoto wakapime DNA kupata peace of mind
Kazi Kweli Kweli
 
Haha eti akirudi mpe shamra shamra. Usipojali tabia zake za ajabu ndo unaitwa mke mwema eti, umekomaa kwa ndoa. Me vitoto vyangu vya kiume ntavifundisha mapema, kikikosea tu nakiambia "wewe ndoa itakushinda, wanawake watakukimbia teh", maybe na wenyewe wataona umuhimu wa kutunza ndoa zao tangu wakiwa watoto.
Mtu unakaa nyumbani umejituliza, mtu anakuja kukuletea magonjwa yake na mibalaa yake huko nje bure bure kama msaada wa watu wa Marekani khaa. Afu mtu akisema ameshindwa ndoa anaonekana hafai kwa jamii. No wonder hata thamani ya ndoa imeshuka
 
Hakuna mwanaume ambaye hajawahi kucheat duniani. Thought pekee yake inatosha then linakuj tendo.
jiongelee mwenyewe bro. huoni kila MTU kajiongelea mwenyewe. acha kuchafua wanaume WENYE MVUTO.

no courtesy no values at all these days. kutengeneza mahusiano yasiyofaa na the opposite sex ndo kawaida. kuflirt flirt ovyo halafu unasingizia nature. people don't be tripping on diks n pus$$ies mnalea kwa makusidi kabisa tamaa.

utafkiri wanyama wanaoongozwa na instincs badala ya intellect. mmxxxiiiuuu
 
Hahaha Kwa kweli ajiongelee tu yeye binafsi, hakunaga cha " All men blah blah". All is such a very strong word
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…