Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

very true
 

Kuna hatari ya rafiki yako kuishia kufanya "kitu mbaya" ambacho atajutia baadae.
 
Inauma sana tena sana ila hakuna jinsi..
Dont try kugombana na hao michepuko au yeye..
Do ua part as a wife..
Try to be happy as much as u can..
Muoneshe u can be happy with/without him..
Jitahidi usimfuatilie kabisa...the more u dig the more u get hurt na sitution ndo itazidi kuwa mbaya mkizidi kugombana..
Keep ua expectations low..akiamua kufanya kitu afanye asipoamua take it as poa..
Find ua new interest..
DNT TRY kupay back it will make situation worse..
Don't let this situation change u..
 
Umalaya unawasumbua tu hamna lolote
If you truly love and respect someone then you will never cheat on him or her. Period
 
Je nn chanzo cha mwanamke kucheat???
 
mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
Apo malizia kwa TENDO
 
Ungekua mke wangu ningekupenda sana TRU FACT!
 
Kwa uzoefu wangu mm mapenz ni hisia pia hisia zinakuepo kwa mda haziishi milele namaanisha kadri mnavyoishi/mtakavyoishi ktk ndoa na kupitia changamoto nyingi ndio hisia zitakavyozidi eitha kukua au kushuka sasa niongelee zikishuka kwa mmoja kati yenu asee kama alikua anatongozwaga ataamua kucheat apate amani ya moyo na upande wa mwanamme vivyo hivyo atatamani ata aende sehem kupumzika pekee ajiliwaze sasa jiulize na nan ndo mda michepuko sasa Mwisho ndoa ivumiliwe tu hakuna namna ya kuilinda kwa kufuli ila kwa hofu ya MUNGU ndio UPENDO na AMANI unatawala
 
unajua kusema kweli kuna wanawake wengine ni watamu balaa anajua kuhandle mwanaume mpaka ukiwa kw mke unafikiria kule na kingine ujitumaji wako hapo kitandani kama upo vibaya basi ataienda kule pazuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…