Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

tya02

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
850
Reaction score
1,064
Poleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
 
mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
 
Kwa ujuzi wangu, kitu pekee cha kufanya hapo ni maongezi kati ya hao watu wawili. Maswali na Majibu hadi mpate muafaka na mwisho ni mapatano.
 
Kweli
 
Yaani apart from hayo yote ,yaan unajitahidi ur best!y are they doing this?
 
Sometimes influence from outside can cause tension in the house(the in laws), hii inategemea pia how strong is the love between two of you.
 
T
Kwa ujuzi wangu, kitu pekee cha kufanya hapo ni maongezi kati ya hao watu wawili. Maswali na Majibu hadi mpate muafaka na mwisho ni mapatano.
wanaume wana trick nying sana, mnawwza mkayaongea vizuri sana lakin usiku mwenzio akageukia kushoto akaaga goodnight
Sometimes u wish to live ur life
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom