Hasham007
Member
- Sep 12, 2017
- 13
- 2
Habari zenu wana JF,
Saivi kumeibuka wimbi la mahari kuwa juu kiasi ambacho vijana wengi wanashindwa kuingia katika ndoa licha ya kuwa na niya yakufanya hivyo.
Kwa uoni wangu licha ya maisha kuwa magumu lakini chanzo haswa wazee wa sasa hivi ni tofauti na wazee wa zamani.
Zamani mzee akipata pesa akijua anamtoto wa kike basi huanza kumnunulia vyombo kidogo kidogo na kuweka chini ya mvungu wa kitandani: Ikifika siku yakuolewa basi tayari anavyombo vyake vyakutosha hivyo hata mahari mtu anakuja kudaiwa machache sana.
Lakini leo wazazi wanategemea mahari yako ndio wamtafutie mtoto wao kila kitu ndio maana vigongo vya mahari huwa vikubwa mno.
Hayo ni mawazo yangu tu: Je ukiachilia hilo kuna sababu zipi nyinginezo zinazosababisha leo hii mahari yawe makubwa?