Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Usijali we endelea tu, naogopa kubeba dodo chini ya muarobainiNapendaga kumendewa peke yangu sitakagi competition [emoji1]
Usijali we endelea tu, naogopa kubeba dodo chini ya muarobainiNapendaga kumendewa peke yangu sitakagi competition [emoji1]
Sio ntu wewe apoCha ntu huliwa na ntu jmn, kwani ww unataka kuliwa na wanyama pori?
Kaaaah! sio kwa kunisusa huku😉Nimekuachia ndugu chukua yoteyote
Kwa hiyo ww binafsi hutaki nikukule au?Sio ntu wewe apo
Teh, [emoji126] [emoji126] [emoji126]Kaaaah! sio kwa kunisusa huku😉
Mie mwenyewe nimeogopa kuokota tikiti kwenye mchungwa.Simtaki tenaUsijali we endelea tu, naogopa kubeba dodo chini ya muarobaini
Kabisa yaaani, kakule vya wengineeeeKwa hiyo ww binafsi hutaki nikukule au?
Umeonaeeee, ni zaidi ya tetemekoMie mwenyewe nimeogopa kuokota tikiti kwenye mchungwa.Simtaki tena
Nadhani mpo salama, mnajua hua sielewi kabisa linapofika swala la kumtamani Mke wa mtu/Mume,bila kujali ...
Mie mwenyewe nimeogopa kuokota tikiti kwenye mchungwa.Simtaki tena
Nimeamini ule msemo wa mtaka yote hukosa yote, nahisi nina nyota ya pimbi jmn.Kabisa yaaani, kakule vya wengineeee
Cha mtu huliwa na mtu
Hahahaaa, mshika mawili la tatu huweka mfukoniNimeamini ule msemo wa mtaka yote hukosa yote, nahisi nina nyota ya pimbi jmn.
Sio mie mkuu, ni wahenga[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nitakutafuta unithibitishie!
utansaidia kuwatafuta wahengaSio mie mkuu, ni wahenga[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mtaani kwenu hawapo?utansaidia kuwatafuta wahenga
[emoji1] [emoji1]Nimeamini ule msemo wa mtaka yote hukosa yote, nahisi nina nyota ya pimbi jmn.
Hahaha halafu ninekumiss sanaNitakutafuta unithibitishie!
#3 kuna mwanamke alipanga nyumba ya mzee wangu, nikawa naishi pale maajabu kila nikienda bush nakuja na ndizi za kupika nyingi sana na mimi naishi alone naishia kumgawia hee! si akataka nitunuku papuchi bila hata ya kuomba.1. hawana gharama anakupa bureee
2. hata ukiwa unagegeda bado ana wivu juu yako,anataka uwe mchepuko wake pekee
3. rahisi sana kudanganyika haswa kwenye nyumba za kupanga ukimpa kiroba cha unga tu tayari umempata
4.katika nyumba za kupanga,akimtaka mwanaume huwa analeta visa mara niazime cd huku kavaa khanga moja
5.hupenda sana kutoa siri za mwanaume wake mara hanifikishi kileleni naomba uwe msaidizi wake nk
naona inatosha kwa leo