Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,751
[emoji1] [emoji1]
ooooh! ndio maanaaa nakataliwa.Hahaha halafu ninekumiss sana
[emoji1] [emoji1]
ooooh! ndio maanaaa nakataliwa.Hahaha halafu ninekumiss sana
Nipo my. Sijaelewa why unanikwepa!Hahaha halafu ninekumiss sana
Hata sikukwepi mie nipo tuNipo my. Sijaelewa why unanikwepa!
Una kismat cha nyoka kukimbiwa na watu[emoji1]ooooh! ndio maanaaa nakataliwa.
Hata mimi nahisi hivyo, hebu jitahidi basi kunitoa kimasomaso ili niweze kuondoka na hiyo kismatUna kismat cha nyoka kukimbiwa na watu[emoji1]
I'm happy kujua upo na tena upo poa!Hata sikukwepi mie nipo tu
mmh wapenzi saba kivipi mkuu hebu funua pazia tuoneMwanaume unaoa kwa nini?
Mwanamke unaolewa kwa nini?
Kabla ya kuamua kuingia kwenye maisha ya ndoa ulikuwa umejiandaa?
Wewe mwanaume/mwanamke unajua wajibu wako katika ndoa?
Ikumbukwe kwamba mwanamke katika maisha yake yote hapa dunia huwa na wapenzi wa kiume saba (7)
Mtafute dr manyau nyau anaondoa mikosi[emoji1]Hata mimi nahisi hivyo, hebu jitahidi basi kunitoa kimasomaso ili niweze kuondoka na hiyo kismat
Kweli unataka kujua wapenzi saba wa mwanamke maishani mwake! Una ujasiri wa kujua hilo kama ilivyo kupokea majibu ya UKIMWI!mmh wapenzi saba kivipi mkuu hebu funua pazia tuone
Akinipa masharti kuwa kuna mrembo ulikuwa unachat naye Honey Faith unatakiwa unipe utakubali? si unajua hawa waganga wana masharti sana.Mtafute dr manyau nyau anaondoa mikosi[emoji1]
Hakikisha uwe na pesa yakutoshaAkinipa masharti kuwa kuna mrembo ulikuwa unachat naye Honey Faith unatakiwa unipe utakubali? si unajua hawa waganga wana masharti sana.
Pesa haiwezi kunikosesha hiyo tiba muhimu namna hiyo, hebu nipe picha halisi natakiwa niwe na kaa sh ngapi?Hakikisha uwe na pesa yakutosha
ukitaka mwanamke umpate kirahisi hizo ndo njia pekee#3 kuna mwanamke alipanga nyumba ya mzee wangu, nikawa naishi pale maajabu kila nikienda bush nakuja na ndizi za kupika nyingi sana na mimi naishi alone naishia kumgawia hee! si akataka nitunuku papuchi bila hata ya kuomba.
Hahahahaaa umetisha1. hawana gharama anakupa bureee
2. hata ukiwa unagegeda bado ana wivu juu yako,anataka uwe mchepuko wake pekee
3. rahisi sana kudanganyika haswa kwenye nyumba za kupanga ukimpa kiroba cha unga tu tayari umempata
4.katika nyumba za kupanga,akimtaka mwanaume huwa analeta visa mara niazime cd huku kavaa khanga moja
5.hupenda sana kutoa siri za mwanaume wake mara hanifikishi kileleni naomba uwe msaidizi wake nk
naona inatosha kwa leo