1. Wengi huwa wanakosa amani na utulivu ndoani na kukimbilia nje
2. Hawana tabia ya kuomba omba pesa
3. Kukosa mgegedo kama awali ndani ya ndoa
4. Hufanya mambo kwa usiri sana
5. Kukosa compliments na vizawadi ndani ya ndoa i.e. kuchukuliwa poa
6. Matamanio ya kimwili na kiakili kwa kuwa kuoa/kuolewa hakuondoi kutamani
Kwa mawazo yangu these are simple excuses to justify adultery and cheating. Wanafikiri watapata utulivu wa akili na kukidhi tamaa zao za mwili. Kwa bahati mbaya it is usually temporal. Wanajiongezea matatizo tu. I am not condoning what they are doing but I UNDERSTAND