Nini cha ajabu kwa wake za watu

Nini cha ajabu kwa wake za watu

Kumbe haka kamchezo kanapendwa na watu wengiiiii, wake za watu wanajisahau sana kiasi wanakosa self control hata akiitwa anaenda tu 'mi si mke wa mtu' hakuna wa kunistukia na ni wagawaji wakubwa sana
 
Ni tamaa tu kama ya tamaa ya kuku anapokula huzani chin yake kuna zaid ya kile cha juu so hujikuta akitawanya hovyp
 
Kuna ubaya mkubwa saaana, tena zaidi ya tetemeko
aaaaaah! acha uchoyo basi na ww jamani! kitu chako mwenyewe hukilipii kodi lkn unakuwa unakibania namna hiyo hebu jitahidi kulegeza masharti bana, acha kufananisha vitu vidogo namna hiyo na tetemeko la kitaifa.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom