Nini cha ajabu kwa wake za watu

Nini cha ajabu kwa wake za watu

Napendaga kumendewa peke yangu sitakagi competition [emoji1]
duuuuh! waonekana una wivu sana ww, na unataka kumnyang'anya mwenzio tonge mdomon anyway bahati yake kailalia mlango wazi mwenyewe, labda anaogopa kutoa vitu vya hubby wake.
 
duuuuh! waonekana una wivu sana ww, na unataka kumnyang'anya mwenzio tonge mdomon anyway bahati yake kailalia mlango wazi mwenyewe, labda anaogopa kutoa vitu vya hubby wake.
Hapana mie hiyo sio bahati yangu so endelea nae tu
 
Hakuna cha masharobaro wala nini sometimes wanawake wanachangia....ukioa mke mzinzi jua umekula bonge la hasara:
¤kama unaroho nyepesi lazima ufe mapema



pixel

Ukiolewa na mwanaume "fataki" au "mkware" kama ina roho nyepesi utabaki "single mama"
 
Back
Top Bottom