lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,710
- 2,387
Nadhani mpo salama, mnajua hua sielewi kabisa linapofika swala la kumtamani Mke wa mtu/Mume,bila kujali nawe una,mke/Mume au upo bachela,
*je ni haya magari wanayonunua/kununuliwa Yanawazuzua??
*je ni vile matunzo/huduma wapatazo kutoka kwa waume zao ndizo zinawavuruga??
*au nivile mavazi yao yanawatoa udenda na roho zenu Ilizojawa tamaa..
*kumbuka unapoenda kula cha mwezio basi nawe chako chaliwa huku ndio maana wengi wenu,mnalea watoto sio wenu na bado unajitapa kumpenda mkeo.
*basi masharo nao ndio wakiona mijimama basi hawaishwi kujilamba Lips na kupikicha mikono kama wamekumbwa na baridi la mbeya. Dada zetu ndio kabisaa kutikisa vifuu vyao walivyojaza na chupi za kichina hizi, amakweli dunia imevaa dera.kuna jamaa hapa kaleta uzi eti hampendi tena mkewe na keshaanza mtamani mke wa rafiki yake.doh...this is nonsense....
Note: vilainishi vimeshuka bei,bt pia tuheshimiane