Cku hizi kama sio mtaalamu unauziwa gongo baa na lebo ya TBS kabisa unaambiwa ni konyagi. Hasa baada ya kinywaji kukolea wahudumu wanakuchangamkia kiaina.tehe tehe konyagi saaaafi sana kwa game ndefu.....karibu aisee
Makonyagi karibu! Masanilo is lost If found please bring him to the nearest pub!
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi.
ops hodi humu
burrp! ops sory nimecheua kidogo tu.
enewei naweza kujisevia bibi mmoja wa moto? hiki kipupwe kinaniangamiza ndani kwa ndani kinoma
Karibu Makonyagi... Pata free Avatar
Kazi ipo hapa...!
Kazi ipo Makonyagi katinga jioni hii... Lakini karibu kila mtu humu keshamfahamu... Nashukuru sana Makonyagi kwa kutumia Avatar niliyoi-attach.