- Thread starter
- #101
This is a tautology, kama vile "kutabiri" mtoto atakayezaliwa atakuwa ama wa kiume ama wa kike.
Halafu unaposema "tukitumia mbongo zetu kwa msaada wa nature" what do you mean?
Kutumia ubongo si nature? Kuna kutumia ubongo bila kutumia nature?
Kwani hujacheza draft mkuu? Hapo nime-force "kingi".
Take it easy brother, si unajua wakati mwingine tunaruhusiwa ku-imagene kama mzee wa relativity alivyoipata theory yake?
Vinginevyo hata mimi ntakuuliza "kwani tunaitumia nature in real sense au yenyewe ndo inatutumia, au tunatumiana?"
Oops! Tushatoka nje ya mada.