Nini asili ya huu mtazamo katika jamii?

Nini asili ya huu mtazamo katika jamii?

I find fault with binding nature to the physical world.

the arrow of time is natural, yet not physical.

Ndio maana nikasema ngoma ngumu mkuu, hata definition ya wikipedia nimeona inamapungufu. Lakini time yaweza kuapply kwenye cosmos au siyo?
 
Nina swali pia hapohapo wanajamvi; empowering women ina kasi zaidi kwa nchi zilizoendelea wanataka kila kitu wawe sawa na wanaume ila likija swala la child support siku zote mwanaume ndo anatoa mshahara wake kumpa mwanamke kumtunzia mtoto na kama mwanaume ndio anaishi na mtoto basi mwanamke anakua huru sheria haimbani kulipa child support. Na wanawake hawana mpango wa kugombania haki hii kabisa ya kulipa child support, imekaaje hiyo?
 
Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa na mwanaume, mjiulize Swali dogo tu, anawezaje kubeba mtoto tumboni miezi 9 pia akamuudumia mtoto na baba yake at the same time. tusiwadharau jaman THEY CAN.
 
Back
Top Bottom