Nini asili ya huu mtazamo katika jamii?

Actually there is nothing wrong or illogical in linking a high birthrate and a low life expectancy (especially for women).

The very process of giving birth is life threatening, especially in an age before modern medicine.
 
Definitely so. However there was more than one reason for the short life expectency. Ukimsoma Tiger ni kama alielewa kuzaa sana kulisababisha the rate to fall. but in actual fact it looks as if the rate has always been low for more than one reason, then wanawake wanapopunguza kuzaa sana inainua life expectancy. we almost say the same thing lakini.
 
Kwa uelewa wangu mdogo, watu wa zamani walikuwa wakiishi maisha marefu kuliko sasa na mara nyingi wanawake wamekuwa na umri mrefu kuliko wanaume so nahitaji kufahamishwa zaidi juu ya hizo taarifa zako.
 
Watu wa zamani walikuwa wakiishi muda mrefu? Mbona takwimu zinaonyesha matarajio ya kuishi sasa hivi yameongezeka kuliko yalivyokuwa zamani kama miaka ya 60, kwa mfano.

Au wewe unazungumzia zamani ya lini? Ya biblia?
 
Mnamsuta Mungu au? Shukuru kwa vile mlivyo, mambo mengine ni mapito tu
 
nyie ndio mmeleta maanguko yote kuanzia adam na hawa mpaka delila mpaka kajala kamuacha mwenzie jela,mpaka lulu kwa kanumba....ongeza na unayoyajua wewe hapo kwa historia,adventures,story za mtaani,vitabu vya dini jinsi wanawake wanavyofelisha....n it well known wewe lazima utakuwa lidada la mjini wewe...
 
Kwa uelewa wangu mdogo, watu wa zamani walikuwa wakiishi maisha marefu kuliko sasa na mara nyingi wanawake wamekuwa na umri mrefu kuliko wanaume so nahitaji kufahamishwa zaidi juu ya hizo taarifa zako.
Basi ni uelewa mdogo tu. Watu wa zamani walikua na life expectency fupi ila modern medecine na other discoveries ndio yanarefusha maisha. In 200 years (five generations) we have doubled the human life expectancy (source).
But of course according to the bible human life expectancy was around 900 years. No eveidence so ni kuamini au kutoamini. Mimi binafsi siamini. Hapo itabidi nikuache na mkuu Kiranga ndie ana bidii ya kuchambua mambo ya imani.
 
Last edited by a moderator:

Unachanganya life expectancy na maximum lifespan.
Hiyo life expectancy ya miaka 900 umeipataje hata kama ilichoandi bible ni cha kweli? Maana hilo ni swala la kitakwimu.
 
Last edited by a moderator:
Unachanganya life expectancy na maximum lifespan.
Hiyo life expectancy ya miaka 900 umeipataje hata kama ilichoandi bible ni cha kweli? Maana hilo ni swala la kitakwimu.
Inawezekana hapo bold ikawa kweli...
But hata hivo kwenye bible sio mmoja au wawili waliishi 900 years. which indicates quite a high average.
Back to topic, maelezo yangu yana-make sence?
 
Inawezekana hapo bold ikawa kweli...
But hata hivo kwenye bible sio mmoja au wawili waliishi 900 years. which indicates quite a high average.
Back to topic, maelezo yangu yana-make sence?

Ngoja turudi square one.
Jibu swali hili, "nini asili ya mtazamo kuwa women need to be empowered?"
 
Nimeisoma mkuu, can you please narrow it to the point?
that is the narrower I can go I am afraid. you can't summarize such a complex matter into one or two lines. but here is my try: (1) the maternal role they played for years tok them away from the economic scene and subsequently the political decision making level. (2) this imbalance is being corrected through raising awareness, changing existing policies and a quota system of representation.
 
Point no. (1) Kwahiyo hii hali ilisabishwa na wanaume kuwa selfish? Kwamba they took advantage of women being mothers? Do you real think so?
 
Hapo nilipopiga mstari ndipo hasa panaonesha utofauti wa mwanamke na mwanaume. Sisi wanaume hatusubiri kupewa nafasi. Tunapambana kutafuta hizo nafasi kwa hali na mali. Mwanaume alivyoumbwa kibaolojia, anajiona yuko juu ya mwanamke. Sio swala la mfumo dume. Kwa kifupi hili ni swala la kibaolojia zaidi. Dini nayo ndio ikakandamiza msumari wa mwisho kwenye jeneza. Mfumo Jike (R.I.P)
 
Mkuu, waweza kuwa sahihi. Hili neno "mfumo dume" linaweza kuwa limeanzishwa na watu fulani wanaojiita "wanaharakati" ili hali wanaendeshwa na interests zao hasa za kisiasa(umagharibi). Nipo tayari kusahihishwa.
 
Nimeipenda hii.
 
Nimeipenda hii.

Shukurani.

Wenzetu wengine - wenzetu kwa maana ya raia wa nchi moja nasi, waweza kuwa si wenzetu kwa mengi tu- bado wanaelea katika matufe kama ya ya Tolemi.

Kama mtu anatafuta kiini - si kwamba mimi nishakipata, nina vitabu vizuri takriban 60 vya kusoma kwa suala hili tu, tusifike kwenye wanawake wenyewe wazoefu ninaotakiwa kuwakabili, mmoja tu afaaye atafanya zaidi ya kunitosha- binafsi sijaona jibu zuri zaidi la mtazamo huu.

Mfumodume ni udhaifu unaorudisha nyuma maendeleo ya dunia nzima, hata kwa sanaa za vichekesho tu kwa kuanzia.

Tuwe na busara za kuushinda.
 
Hivyo vitabu 60, havita kuwa na tofuti kama vimeandikwa kwa malengo ya watu fulani waliofanikiwa kupenyeza matakwa yao mpaka ndani ya wasomi, mifano na ninadhani wawezakuwa unaifahamu.
Mi sitetei ukandamizaji lakini kama ila kama mambo fulani hayaeleweki kwanini tusihoji?
 
Naam,

Lakini siwezi kuvihukumu kwa muhtasari wa kuangalia gamba.

When time and inclination permit, I find instructions even in reading (and watching) polemics.Sometimes they are better than an obscure crass Tarantino cinematographic homage to an even more obscure Humprhrey Bogart move from a movie of the 1940s.

That's why from time to time I like to reassure myself that "The Flat Earth Society" still exists.

Kuhoji ndo mwanzo wa ujuzi, ila tuhoji kwa mawazo yaliyo wazi. Sio unahoji huku una jibu unalolitaka, ukiona uchunguzi unakupeleka usikokutaka unapindisha habari mpaka upate jibu unalolitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…