Nini asili ya huu mtazamo katika jamii?


Nakubaliana na wewe mkuu, asili yaweza kuwa kitu chochote kama siyo kila kitu. Lakini katita mada hii tuzungumzie naturural established law which governs the world. The physiological and psychological laws zilizounda the so called "mfumo dume", ili kama inawezekana tufikie hitimisho kuwa huu mfumo is inevitable kwakuwa the bioliogical laws enforce it au la, ni sisi wanadamu na ubinafi wetu ndio tuliouleta na unaweza kutokomezwa.
Karibu.
 

Hujachunguza ushatoa constrains za jibu litaanzia wapi na kuishia wapi tayari?

Ukikuta kuna some sort of "Heisenberg Uncertainty Principle" or some weird quantum duplicity that is reminiscent of "action at a distance spookiness" (since you are so bent on the supremacy of natural laws) iko deeply entrenched humo utasemaje?
 
Hujachunguza ushatoa constrains za jibu litaanzia wapi na kuishia wapi tayari?

Ukikuta kuna some sort of "Heisenberg Uncertainty Principle" (since you are so bent on the supremacy of natural laws) iko deeply entrenched humo utasemaje?

Wenyewe wanasema E=mc^2 so we are either energy or matter depending on the situation. Sitashangaa kabisa kuapply physics kwenye swala la physiology/psychology kwakuwa ubongo wetu unafanya kazi ukihusisha chemistry na biology.
Fundamental particles za miili yetu ukiwemo ubongo zinaweza kuelezewa vizuri zaidi na physics.
 

Unasema jibu litakuwa negative au positive wakati hujaanza kukokotoa hesabu?

Ukikuta jibu ni imaginary number je?

Usitoe jibu kabla ya uchunguzi, fanya uchunguzi kwanza utakupeleka kwenye jibu.
 
Unasema jibu litakuwa negative au positive wakati hujaanza kukokotoa hesabu?

Ukikuta jibu ni imaginary number je?

Usitoe jibu kabla ya uchunguzi, fanya uchunguzi kwanza utakupeleka kwenye jibu.

Kwahiyo "mfumo dume" bado ni paradoxy, is that so?
 
Kwahiyo "mfumo dume" bado ni paradoxy, is that so?

Kabla hatujaelewa sayansi ya ubongo unavyofanya kazi, na tofauti za ubongo kati ya mwanamke na mwanamme (kama zipo) zinaanzia wapi na kuishia wapi, hatuwezi kujua ni kiasi gani cha mfumodume kinatokana na baiolojia na kiasi gani kinatokana na tamaduni na mapokeo.

Vivyo hivyo kwenye mambo ya ubaguzi wa rangi.

Na hatuwezi kujua kwa nini kuna watu wengine wasomi wazuri tu na wanajua mambo mengi lakini bado hawawezi kuuzidi mfumodume.

Je ni kwa sababu mbongo zao haziwezi kushinda kemikali fulani zinazochochea mfumodume? Au ni kwa sababu wameshakunywa maji mengi sana ya bendera ya mfumodume (kutokana na malezi ya muda mrefu katika jamaii zenye mfumodume wa kina kirefu) kiasi kwamba hata elimu ya juu iliyowajulisha ubaya wa mfumodume ukubwani haiwasaidii sana?

Au kuna kitu kingine ambacho hatujakijua kabisa?

Ntasema kama wanazuoni wanavyosema kila mara wakizidiwa kimo na maswali.

Utafiti zaidi unahitajika.
 
Duh ......sio wote waliosoma philosophy kw undani mana ata concept cpat ulichopost kwny hii threat
 
Na wale tunaofikiri kuwa mwanamke yupo duniani kutumikiwa na mwanamme kwa kila alitakalo tupo fungu gani?

Mfumojike?

Na ilikuwaje tukaenda kinyume na "asili"?
 
Na wale tunaofikiri kuwa mwanamke yupo duniani kutumikiwa na mwanamme kwa kila alitakalo tupo fungu gani?

Mfumojike?

Na ilikuwaje tukaenda kinyume na "asili"?

Labda na nyie ndo "asili" yenu hiyo.
 
Labda na nyie ndo "asili" yenu hiyo.

Asili kwa muktadha alioutaja mheshimiwa sana Tiger inaonyesha ni moja kwa binaadamu wote.

Sasa labda wengine sie ni mutants au aliens
 
Last edited by a moderator:
HoneyBee mbona hata sisi wanaume tushalazimishwa kuoa tusiowapenda
msilalamike kuhusu cheo kwan ni nyie wenyewe mnaotoa rushwa ya ngono kupata cheo,
tena siku hiz mnapewa promotion huko makazin kuliko hata wanaume
kwanini uogope kubakwa si mnasema tupo sawa?pambana nao tuseme tupo sawa basi
 

tutawapen na jeshi lote kabisa muende vitani,si tutakua nyumbani tumechill
 
Na wale tunaofikiri kuwa mwanamke yupo duniani kutumikiwa na mwanamme kwa kila alitakalo tupo fungu gani?

Mfumojike?

Na ilikuwaje tukaenda kinyume na "asili"?

anakutumikia kivp?

kukupa misosi nakufanya kazi za nyumbani?
 
Asili kwa muktadha alioutaja mheshimiwa sana Tiger inaonyesha ni moja kwa binaadamu wote.

Sasa labda wengine sie ni mutants au aliens

Mutation is amongst the processes of nature(asili). Aliens pia wanaishi under the laws of nature.
 
Last edited by a moderator:
Hapa umechanganya mambo mawili. Umechanganya mtazamo kua wanawake ni viumbe dhaifu na marekebisho yanayo fanyika ili wasionekane kua hivo.
Mtazamo kua wanawake ni viumbe dhaifu umetokana na bayolojia yao. Kwa vile wanawake ndio wanapata ujauzito na ndio wanazaa, na kwa vile huko mwanzo wanawake walikua wanazaa almost kila mwaka hadi mwaka wao wa kufa (life expectency was below 40), they were vulnerable. they couldn't provide anything zaidi ya ku-take care na familia nyumbani. hali hii ikawafanya wawe under domination ya wanaume. ukichukua mfano wa ugiriki (ambako demokrasia ya leo inachota misingi yake) only wanao lipa kodi ndio walikua wanaitwa citizen na ndio waliweza kuchangia mijadala kuhusu vitu vya umma (Res-Publica). dhana hii iliendelea hadi pale wanawake walipoanza ku-contribute economically katika maisha ya familia. But pamoja na dhana hili kuanza kubadilika since a century bado kuna nafasi nyingi ambazo wanawake wangeweza kuchangiwa but wanakosa opportunity. Pia, system (government and cultural) ilivyo sasa hivi inawachuja wanawake kuweza kufikia kazi fulani fulani.

Hatua zilizo chukulia to address the imbalance ni (1) Kutenga siku maalum ya wanawake ili ku-raise awareness on the innequality, (2) kudenounce procedures na taratibu zinazo waziwia wanawake purposly of insidiously kufikia platform ambazo decisions kuhusu jamii zinachukuliwa (3) as we wait for the procedure kukamilila ilionekana wanawake wapewe viti maalum (quota system) ili wawakilishe a woman perspective katika mijadala.

Hizi hatua zinasaidia kweli kurekebisha imbalance au zinakuza perception kua mwanamke hawezi hadi awezeshwe? this is a good question, but sijui kama tunaongelea hili leo.
 

Mama atakujibu its okey kwan tatizo liko wap, kwan mwanaume akiosha vyombo na kumuangalia mtoto wakati mama yupo kazini kuna tatizo gani. Mtazamo ulionao kwa sasa ndio wamama wanaamini unapaswa kubadilika (Japo mimi binafsi naamini it will never happen), mwanamke atabaki kuwa mwanamke mwanaume atabaki kuwa mwanaume....Labda Mungu apandikize uwezo wa kiume kwa watoto wakike wapya watakaokua wanazaliwa
 

Ni wapi(nchi au jamii) na ni lini(miaka ipi), wanawake walikuwa wanazaa kila mwaka mpaka life expectancy yao ikawa below 40?
Baada ya hapo tutaendelea.
 

Mkuu, nakubaliana na kauliyako ya mwisho kuwa utafiti wakina unahitajika juu ya swala hil.
Tena tunahitaji kuanza upya kabisa maana kuna uwezekaona kuwa mambo mengi tuliyo-theories kuhusu mahusiano ya mwanamke na mwanaume ni potofu na yanasukumwa na tamaduni na mazoe.
Ila asante kwa uandishi wako mahiri, post yako umeandika kama mghani ila maudhui yake ni ya msingi.
 
Ni wapi(nchi au jamii) na ni lini(miaka ipi), wanawake walikuwa wanazaa kila mwaka mpaka life expectancy yao ikawa below 40?
Baada ya hapo tutaendelea.
Nadhani umenielewa vibaya. Life expectancy kua below 40 sio consequence ya kuzaa kila mwaka.
I mentioned this ili uelewe why wanawake walikua wanaweza kuzaa mwanzo mwisho, bila kupumzika/kupumzishwa. This was just a few century (should I say decades) ago, almost all over the world. Haki za wanawake zimeanza kutambulika in the 20th century. Uzazi wa mpango umekuja even more recently. Kumbuka huko nyuma kila kitu kilikua produced kwa mikono so kids were considered manpower investment. In some rural communities it is still the case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…