Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,332
Hi Guys

I hope mko poa,,, Right,,??

Okay, Good.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.

Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.

Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.

Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,

👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.

👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,

👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.

👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.

👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.

KARIBU MFALME LISSU.
 
Kadri siku zinavyosoge naona zinduzi za Jiwe zinapamba moto!
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
 
Siku Lissu anatua lazima litazuka jambo tu.......tunaweza kuambiwa ni siku ya usafi Dar, wanawake kwa waume wote ni mwendo wa mafagio -- fitna hainaga aibu aisee!!
 
Sawa Bashite.
 
Hi Guys

I hope mko poa,,, Right,,??

Okay, Good.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.

Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.

Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.

Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,

Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.

Atafika siku,Tarehe na Muda gani,

Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.

Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.

Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.

KARIBU MFALME LISSU.
wewe na Lisu wote ni washenzi tu,atapokelewa kama parcel tu hapa nchini,saliti hilo
 
Siku Lissu anatua lazima litazuka jambo tu.......tunaweza kuambiwa ni siku ya usafi Dar, wanawake kwa waume wote ni mwendo wa mafagio -- fitna hainaga aibu aisee!!
Siku hyo hakuna kitu kitakacho zuia watu wasimpokea Lissu,Njia ya kuzuia watu wasimpokee ni kuwatishia tu basi,Kwa sababu Lissu ni zaid ya usafi Dar na mikutano ya kila aina.
 
Back
Top Bottom