Zile nilipale ikawa ndio bye tena, ila kibahati bahati zilirudi kupitia biashara nyingine ambayo infact I used her, big timepesa ndo byebye ahahaaahh wanawake si wa dunia hii
Ningemuacha pia nisingezipata zile pesa maana yaelekea alidhamiria na nisivyoweza kudai violently ndio akawa ana take advantage, basi nikaona niambulie japo kumtafuna mkuuWengine wananunua papuchi kwa 10000 we umenunua zaidi ya milion10
Afu unakuja kututambia unajiona kidume
From my mistake, you better take a lesson sirI do avoid that
Dongo hilo mkuuWafungwa wako selo na kufuli la geti liko wazi lkn hawana akili ya kutoroka
Ukiendelea hivo matatizo yatakuepuka mkuuhakuna kiumbe ninachokiogopa kama mwanamke.
hahaahh!!...alisema anayo ingine huyu hebu ifatilie tumuangalie upepo wake upoje!hahaaa wewe umejisajili juzi juzi tu now umeshaanza kutema shit kiasi hiki"" hahaa aisee wewe utakuwa ni mwenyeji humu"" una I'd nyingi""
Palantir ...njooo umuone ndugu yko hku
hahaaa kanishtua mnooo..usikute alishakulaga demu wamtu humu "" baada ya kushtukiwa kaamua aje na I'd mpya""hahaahh!!...alisema anayo ingine huyu hebu ifatilie tumuangalie upepo wake upoje!
dah!Hongera kwa kuitoa kimasomaso 'dunia ya wanaume'
Eti eeh! Afadhali umenipa japo maneno yafaraja mkuu, maana nimechekwa huku balaa!Shida ya wengi hauko peke yako! Relax
Kama nakuona Mzee wa Kale kabisa,Je kwa ukongwe wako sijui unakamsemo kokote ka Kihenga kuelezea mkasa huu na wahusika wake? Usiishie kushangaa tudah!
Salaale! Nisamehe Ukhuty sirudii tena, asije akarudi siku amelewa ukanambia mimi ndio mwalimu wakeusimfundishe tabia mbaya bhana[emoji85]
Lakini wanaume tumeumbwa tutoke jasho ili hawa viumbe wengine wale kiulaini, haijawahi kua ajabu kwa mwanume hasa wa kiafrika kuhonga, ila mimi hapa nahisi kama niliibiwa au nilitapeliwa vilewanaume wa daresalama kwa ngono hadi nyumba wanahonga
Angalau wewe uliambulia vijisenti mkuu, halafu huyo hakua na plan ya kuku con in the first placeMimi kidogo nifanyiwe kitu kama hicho huko kusini.Bosi wangu alimpeleleka kwa upendeleo staff mwenzangu (alikuwa demu) kushiriki mafunzo ambayo hakuwa na sifa.Baadaye waandaaji (HQ yetu) wa mafunzo hayo wakasisitiza yule demu arudi niende mimi. Alikuwa ameshapokea posho za kujikimu. Alidai kuwa sehemu ya pesa ya posho alikuwa ameshaitumia. Akanipatia kiasi kilichobaki na kuniahidi kunilipa kiasi alichokitumia kupitia mshahara wa mwezi unaofuata kwani pesa zile alitumia kwa kununulia dawa za baba yake mzazi aliyekuwa mgonjwa. Baada ya mafunzo nilirudi kituoni kwangu na tukaendelea kuchapa kazi kama kawaida. Mwezi uliofuatia hakunilipa kama alivyoahidi. Mimi nilikuwa incharge wa ofisi ya wilayani yeye alikuwa ofisi ya mkoani kama sapoti staff tu. Nilianza kumkumbushia/kumdai ile ahadi yake bila mafanikio akidai baba yake bado mgonjwa. Baada ya kupita kama miezi nane nami nikiwa nimeshakata tamaa ya kupata ile hela akaanza kulipa kidogokidogo mno. Mpaka ninahama shirika lile hakuwa amenilipa pesa yote ambayo ilikuwa kubwa kulinganisha na ile aliyokuwa amenilipa. Nikikumbuka alivyokuwa ananizungusha! Sijui ndiyo alitaka kunilipa in kind?
Zawadi gani umeahidiwa mkuu, ya ushindi?Mimi kuna mmoja hapa kanihaidi kunipa zawadi nikimsapoti kwenye biashara yake, sema hela yenyewe ndefu though demu ni mkali, mtamu na fundi wa marathon(nilishaonja), ila nimeamua kuachana naye tu papuchi kitu gani
Ni mara chache sana mwanamke akope hela kwa mwanaume akazirejesha bila figisu figisu, na tunalitambua hilo kwahiyo hata ikitokea nikakubali kukukopesha ujue kbs hiyo nishaipoyezea [emoji1] [emoji1]Hahahaa. Nshakufahamu atiiiiii.
Hivyo deni linakwisha na kusahaulika kabisaaaa.
Hahahaaa. Itabidi nikukope rafiki. [emoji12] [emoji12]Ni mara chache sana mwanamke akope hela kwa mwanaume akazirejesha bila figisu figisu, na tunalitambua hilo kwahiyo hata ikitokea nikakubali kukukopesha ujue kbs hiyo nishaipoyezea [emoji1] [emoji1]
Thanks for your advice mkuuBro umetia hela yako mwenyewe,huo wala sio ujanja. Tena ungekaa kimya manake huo ni upumbavu!!
Batter trade gani hiyo wakati kaondoka na bidhaa zote, pesa na papuchi yake...hahahaaaa au tuseme nilinunua service kwa bei ghaliPesa umeshalipwa kaka. Mmefanya better trade.