Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,751
- 19,700
- Thread starter
- #201
Huu mchezo hauna sheria wala kanuni mkuu, mwingine anaucheza hivi anapoteza mwingine anaucheza tofauti ana gain, unahakika wewe haiwezi kukutokea?Mjinga kweli wewe, yaani kama umenunua kahaba vile, mwenzio kaamua kukupa mashine ili usimdai pesa zako.
Nadhani ungesubiri alipe deni lako afu ajitokeze kiivyo then umkaze.
We unaona ujanja wakati demu yeyote hata aweje kwa kiasi hicho cha pesa lazima akuachie mbunye. Nishakuona kumbe wewe zuzu, ungetumia style za Gudume