Ningemuacha 'dada' yangu huyu dunia ya wanaume ingenizomea

Ningemuacha 'dada' yangu huyu dunia ya wanaume ingenizomea

Mimi kidogo nifanyiwe kitu kama hicho huko kusini.Bosi wangu alimpeleleka kwa upendeleo staff mwenzangu (alikuwa demu) kushiriki mafunzo ambayo hakuwa na sifa.Baadaye waandaaji (HQ yetu) wa mafunzo hayo wakasisitiza yule demu arudi niende mimi. Alikuwa ameshapokea posho za kujikimu. Alidai kuwa sehemu ya pesa ya posho alikuwa ameshaitumia. Akanipatia kiasi kilichobaki na kuniahidi kunilipa kiasi alichokitumia kupitia mshahara wa mwezi unaofuata kwani pesa zile alitumia kwa kununulia dawa za baba yake mzazi aliyekuwa mgonjwa. Baada ya mafunzo nilirudi kituoni kwangu na tukaendelea kuchapa kazi kama kawaida. Mwezi uliofuatia hakunilipa kama alivyoahidi. Mimi nilikuwa incharge wa ofisi ya wilayani yeye alikuwa ofisi ya mkoani kama sapoti staff tu. Nilianza kumkumbushia/kumdai ile ahadi yake bila mafanikio akidai baba yake bado mgonjwa. Baada ya kupita kama miezi nane nami nikiwa nimeshakata tamaa ya kupata ile hela akaanza kulipa kidogokidogo mno. Mpaka ninahama shirika lile hakuwa amenilipa pesa yote ambayo ilikuwa kubwa kulinganisha na ile aliyokuwa amenilipa. Nikikumbuka alivyokuwa ananizungusha! Sijui ndiyo alitaka kunilipa in kind?
 
Mimi kuna mmoja hapa kanihaidi kunipa zawadi nikimsapoti kwenye biashara yake, sema hela yenyewe ndefu though demu ni mkali, mtamu na fundi wa marathon(nilishaonja), ila nimeamua kuachana naye tu papuchi kitu gani
 
Wanawake wana akili sana hasa linapokuja swala la kumkamata kidume mwenye "vichenchi"

Aliona apo atatimiza ndoto zake coz unaonesha we unatoa tu..

Na nna hakika hukurudishiwa, wewe ndo uliendelea kutoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila fresh tu.... we gegeda tu iyo kazi
 
Mkuu,jifunze jambo hili 'ukimuazima fedha mwanamke tegemea kulipwa papuchi'
Pia,ukimtendea mwanamke wa Kiafika wema hususani Mwanamke wa Kitanzania,hatakama atakulipa fedha nyingi sana lkn asipo kupa papuchi huhisi kama bado hajakurejeshea fedha/fadhila
Pia,iwe ni funzo kwako...nimewahi kufanya biashara na wanawake (ilikuwa ni biashara ya fillet/nyama),mwanamke akichukua mzigo kwa mkopo na akala hasara kwenye mzunguko wa biashara basi atakutaka mmalizane kwa kukupa papuchi
Vilevile,akichukua mzigo kwa mkopo akazungushia na kupata faida;hataki kurejesha fedha alizokopa kwa mwanaume cuz anahsi kama vile anatoa fedha ya bure kumbe ni fedha halali ya mtu

Mwisho,niwakumbushe mwanaume wenzangu kuwa ukiingia ktk mahusiano na mwanamke anayefanya biashara hasa biashara za kusafir Mara kwa Mara basi umeingia kwenye mahusiano na siti ya daladala.Nawapongeza sana ndugu zangu Waislam (japo mm ni mkristo) kwa kuyaishi na kuyasimamia mafundisho yao (wao wanaamini kuwa mwanamke anapaswa kubaki nyumbani kwaajili ya kumlea mumewe na watoto)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwenye biashara ya fillet/nyama[emoji28] mbavu zangu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ni dada binamu wa aliyekua rafiki yangu(rafiki yangu huyo alishafariki, R.I.P), na nikimchukulia kama dada yangu haswaa. Mara ya kwanza kumuona ni kwenye graduation yake pale IFM amabapo nilihudhuria mimi na rafiki yangu nikiwa kama mwana familia na baadae usiku kwenye sherehe. Mara ya pili kumuona ni miezi kama saba baadae ofisini kwao ambapo wao(familia) walikua ni mawakala wa bidhaa fulani kutoka nje na mimi nilikwenda kama mteja na kwa bahati (chagua kama ni nzuri au mbaya) nikajikuta nahudumiwa na huyu binti. Tangia hapo tukawa tunawasiliana kwa maongezi ya kawaida

Kuna siku akanipigia simu akanambia amepata safari ya kibiashara nje ya nchi, kwa hiyo anataka aitumie fursa hiyo kuangalia uwezekano wa kuanza biashara yake mwenyewe na kwamba atakapokua anarudi achukue baadhi ya bidhaa alete kuziuza bongo, so kama niko kwenye position anaomba nimuazime kiasi cha pesa kwa ajili hiyo, na akaniahidi atarejesha pindi atakaporejea na kuuza bidhaa hizo. Nilikua kwenye position na nikampatia kiasi hicho alichokihitaji

Baada ya siku hiyo hatukua na mawasiliano kwa siku nyingi kidogo japo nilijua alisharudi safari yake. Sikutaka kumpigia hata kumsalimia maana nilitaka nimpe nafasi ya kutosha kuzunguusha biashara yake, maana pengine simu yangu ingempa pressure na pia kipindi hicho sikua desparate na hizo pesa, hivyo nikaona kama nimeziweka tu bank.

Siku kadhaa baadae yeye ndie alikua wa mwanzo kunipigia, akaniomba niende ofisini kwao, nikafanya hivyo nikitumaini naenda kuchukua mpunga wangu. Maongezi ya mwanzo tu nikahisi hela zitachelewa kulipwa and I was prepared kukubali muda wowote atakaosema atatumia kunirudishia. It was more than that, akaniomba tena nimuazime kiasi kingine cha pesa ambacho atakitumia kulipia refesho la mkopo! Alinipa story ndefu lakini mwisho wasiku nikampatia nusu ya pesa alizoniomba nyingine nikimuahidi nitampa kesho yake though akilini mwangu nikasema hizo ndio za mwisho kumpa.

Kesho yake, kutwa nzima alikua akinipigia na mimi nikimwambia dada niko busy nitapita hapo ofisini kwao baadae. Hakuacha kunipigia hadi saa tano na nusu usiku akanambia bado yupo ofisini ananisubiri! Nikaona hakuna namna ngoja niende. Ofisi zote zilikua zimefungwa isipokua ya kwao na kabaki peke yake. She was in a very tempting mini skirt an see through blouses, but to me she was just my sister kabisa. Tukawa tunaongea hadi saa sita usiku,. Ikabidi nimsogeze kwenye kituo cha karibu cha bus lakini kila kituo nilichokua nampeleka kulikua hakuna daladala za kwao, hatimaye nikafanya tu maamuzi ya kumrudusha hadi home kwao sababu muda ulikuwa umeenda sana.

Wakati anashuka kwenye gari alikua kama anasitasita hivi na mwisho nilipomuaga kua inabidi niondoke nisije nikasinzia njiani akanipiga jicho flani ambalo kwa wakati huo sikulielewa. Nikaondoka zangu, lakini baada ya kama dakika tatu hivi akanipigia akaniomba nirudi kuna dharura! Niliogopa nikidhani labda atakua bado hajafunguliwa na anaogopa vibaka, fasta nikarudi kumfata na nilipofika akasogelea gari akafungua mlango akaingia na akanielekeza nikapaki pembeni ya ukuta wa nyumba yao ambapo kulikua na miti mingi na giza.

Hakupoteza muda, akaanza 'Ses thanks for everything.......'. Hasira zikaanza kujikusanya kuona kua nimerudishwa hadi huku ili tu anambie asante! But kabda sijaanza ku protest au kuuliza alichonirudishia, her lips was against mine, kissing, licking,biting! Na kama mnavojua mwanaume ni askari wa miamvuli (paratrooper) ana shoot on landing, na hawenga wanasema 'genye za mwanaume haziandikiwa barua', huwa zipo at disposal anytime and thre rest is history. Kama ningemuacha sijui kama ningesameheka kwa timu wanaume ingawa nikiri hatukutumia kinga siku hiyo. Ile pesa haikurudi directly but it came back in so many ways ambazo bado ni siri yangu



Ulipigwa kijinga sana. Kama wewe mpo wachache sana. You should stick on your money returns not lips whatsoever.

Labda umeshajikwaa ngoma hapo afu kwa taarifa yako huyo alipokupa K ndio mlimalizana. Hakuna cha sijui pesa zilirudi sijui kwa njia nyingine...ulipigwa, period!
 
Kwanini wadada mkikopa mnakuwa bad deptors?? Baadhi yenu.

Hatuwazagi zitarudi vipi kwa sababu kuna namna tuu zitafidiwa.
Hahahaaa. Kukipambazuka naomba nikukope jirani. [emoji85] [emoji85]
 
Deni lishalipwa, na hiyo ndio ilikuwa nia ya binti...

Ushafanywa kibushuti...
 
Hajar unauvuta ulimi wangu ili nizimwage hadharani tu hizo siri, hahahaaa. Haya umeshinda bana. Ni kwamba kuna biashara tulikuja kufanya pamoja kwa yeye kuniletea mzigo kutoka huko nje alipokua anakwenda nami nikawa namlipa tunamalizana, soko la ndani nilikua nalijua mimi, nikawa napata faida mara kumi na tano ya alivyokua anadhani yeye. Ila kiukweli hiyo biashara ilitokea tu kwa bahati vinginevyo ilikua nishapoteza!
Hahahaa. Sawa.
 
Back
Top Bottom